Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Lord tulia lamba asali hayo hata sisi tunayaona huna haja ya kutujulisha.Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya.
Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni tofauti na Fedha walizolipa kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa wafanyabiashara wetu! Mwaka Jana July tulipokea Watalii elfu 92 tu.
Kwa jitihada hizi, Kama humpongezi Mama Samia kwa jitihada zake wewe utakuwa unasumbuliwa na sonona na chuki zisizo za kawaida!
Heri ya siku ya wakulima kutokea Mbeya
Lord denning
Siwezi kutulia wakati Mama Samia anafanya maajabu! Haya maajabu lazima yasemwe na yapongezwe haswaLord tulia lamba asali hayo hata sisi tunayaona huna haja ya kutujulisha.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hakika Rais wetu atatufikisha mbaliHaya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya.
Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa wafanyabiashara wetu! Mwaka Jana July tulipokea Watalii elfu 92 tu.
Kwa jitihada hizi, Kama humpongezi Mama Samia kwa jitihada zake wewe utakuwa unasumbuliwa na sonona na chuki zisizo za kawaida!
Heri ya siku ya wakulima kutokea Mbeya
Lord denning
Siwezi kutulia wakati Mama Samia anafanya maajabu! Haya maajabu lazima yasemwe na yapongezwe haswaLord tulia lamba asali hayo hata sisi tunayaona huna haja ya kutujulisha.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hakika Rais wetu atatufikisha mbali
Pingapinga fc tumeshawazoea! Hamuishiwi manenoKuna maswali ya kujiuliza hapa...
1. Ni kwa nini Kenya, Egypt na South Africa ambao hawana vivutio vingi vya asili wanapokea watalii zaidi ya milioni mbili kila mwaka na sisi tunahangaika kuifikia idadi ya milioni moja kwa mwaka?
2. Hivi sasa Ulaya kuna joto sana na athari za vita vya Ukraine vimeleta upungufu wa gesi kwa ajili ya AC, hii haiwezi kuwa ni sababu ya muda mfupi ambayo sio ya kutegemewa kuwa endelevu?
3. Tunajua uchawa ndio ajira kubwa na nyepesi, ambayo inaendana na kumpamba mtu mmoja na kumjazia sifa hatimaye kutothamini mifumo kufanya kazi, hii ni kutu katika ubongo wa watanzania wengi ambayo inatakuwa ipigwe vita.
kwa sasa Watanzania wote tunalamba asaliLord tulia lamba asali hayo hata sisi tunayaona huna haja ya kutujulisha.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nonsense, hizo pesa zote mnazikuleka kwenye matumbo yenu huku nchi mkiiacha kama shamba la Bibi.Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya.
Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa wafanyabiashara wetu! Mwaka Jana July tulipokea Watalii elfu 92 tu.
Kwa jitihada hizi, Kama humpongezi Mama Samia kwa jitihada zake wewe utakuwa unasumbuliwa na sonona na chuki zisizo za kawaida!
Heri ya siku ya wakulima kutokea Mbeya
Lord denning
Mnahaki mlambe asali kazi mlioifanya hongereni Sana, ila usiseme wote maana wengine hata masega hatuyaoni, heri kwenukwa sasa Watanzania wote tunalamba asali
Kwa chadema kila jambo ni shida ukikusanya vizuri shida ukishindwa kukusanya shida ukifanikiwa tabu, yaani hawana jema, wao ndio pekee wanaoweza kufanya mambo vizuri.Nonsense, hizo pesa zote mnazikuleka kwenye matumbo yenu huku nchi mkiiacha kama shamba la Bibi.
Tushawazoea! hamuishiwagi malalamikoNonsense, hizo pesa zote mnazikuleka kwenye matumbo yenu huku nchi mkiiacha kama shamba la Bibi.
Tatizo ni msongo wa mawazoKwa chadema kila jambo ni shida ukikusanya vizuri shida ukishindwa kukusanya shida ukifanikiwa tabu, yaani hawana jema, wao ndio pekee wanaoweza kufanya mambo vizuri.
°Hawa jamaa ni kama makambale!