Kuna maswali ya kujiuliza hapa...
1. Ni kwa nini Kenya, Egypt na South Africa ambao hawana vivutio vingi vya asili wanapokea watalii zaidi ya milioni mbili kila mwaka na sisi tunahangaika kuifikia idadi ya milioni moja kwa mwaka?
2. Hivi sasa Ulaya kuna joto sana na athari za vita vya Ukraine vimeleta upungufu wa gesi kwa ajili ya AC, hii haiwezi kuwa ni sababu ya muda mfupi ambayo sio ya kutegemewa kuwa endelevu?
3. Tunajua uchawa ndio ajira kubwa na nyepesi, ambayo inaendana na kumpamba mtu mmoja na kumjazia sifa hatimaye kutothamini mifumo kufanya kazi, hii ni kutu katika ubongo wa watanzania wengi ambayo inatakuwa ipigwe vita.