Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya.
Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa wafanyabiashara wetu! Mwaka Jana July tulipokea Watalii elfu 92 tu.
Kwa jitihada hizi, Kama humpongezi Mama Samia kwa jitihada zake wewe utakuwa unasumbuliwa na sonona na chuki zisizo za kawaida!
Heri ya siku ya wakulima kutokea Mbeya
Lord denning
Siwezi kutulia wakati Mama Samia anafanya maajabu! Haya maajabu lazima yasemwe na yapongezwe haswa
Baada ya Chanjo kupatikana zile pending reservations zikawa activated.
Sasa wale walioshindwa kusafiri wakaanza kusafiri tena.
Ukiachana na hiyo factor pia hii ni high season watalii huwa wengi.
Next year baada ya covid reservations kuanza kupungua tutaona hiyo tuwa kama ina impact yoyote.