Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii

Ni wonder kwa kweli wakati kila kitu kikiwa disturbed na vita ya Ukraine na athari za COVID-19 sekta ya utalii ina boom! Royal Tour is a real charm tupige season nyingine chap
Kweli kabisa! Ni maajabu kwa kweli maana pamoja na crisis ya kiuchumi inayoendelea duniani alafu sisi tunapandisha mapato namna hii! kweli Samia anastahili pongezi
 
Sukuma gang na Chadomo watabisha ,utasikia Hatuoni kinachofanyika 😆😆😆😆
 
Wanasumbuliwa na msongo wa mawazo usio wa kawaida 🤣🤣🤣
Basi ni msongo,ni wivu na Uchawi wao kufeli maana walitegemea Rais atashindwa 😁😁..

Utasikia tumepigwa,hamna kitu sijui sauti haina mamlaka na blaa blaa zingine 😜😜.

Sasa Kila wakienda huko au wakisikia wanakuta ni mabilioni tuu yanamiminwa kwenye miradi na hakuna sekta iliyokwama hata tone.
 
Saivi wanachofanya ni kujifungia chumbani na kuanzisha uongo na uzandiki

Kuna mmoja jana alitunga uzi kuwa umeme unakatika hovyo nimemuuliza umekatika wapi hajanijibu hadi saivi
 
Saivi wanachofanya ni kujifungia chumbani na kuanzisha uongo na uzandiki

Kuna mmoja jana alitunga uzi kuwa umeme unakatika hovyo nimemuuliza umekatika wapi hajanijibu hadi saivi
Wanaishia kuangukia pua,mara watafutize visababu uchwara na vinabuma na hivi ambavyo wanaona turnout kubwa ya watu kwenye mikutano ya Rais yaani wanachanganyikiwa vibaya 😜😜
 

Attachments

  • Screenshot_20220809-083110.png
    208.2 KB · Views: 3
  • 20220809_083114.jpg
    68 KB · Views: 3
  • 20220809_083122.jpg
    67.5 KB · Views: 4
Yote hayo ni bure kama litre ya mafuta ina thamani kuliko pound moja na kila kitu kina inflation hadi tunavyozalisha wenyewe nchini.
 
Customer Care.

Tanzania ina huduma mbaya sana za wateja, kuanzia Airport hadi ukifika Hotelini ndo angalau
 
Baadhi / Wale hawakutarajia maendeleo haya watayabeza ni utamaduni wa MNAFKI.
 
Kama kweli Basi rais Samia amalizie kujenga0 bwawa la Nyerere
 
Baada ya Chanjo kupatikana zile pending reservations zikawa activated.

Sasa wale walioshindwa kusafiri wakaanza kusafiri tena.

Ukiachana na hiyo factor pia hii ni high season watalii huwa wengi.

Next year baada ya covid reservations kuanza kupungua tutaona hiyo tuwa kama ina impact yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…