Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii


Hahaha
Kwani utalii ulifungwa then yy akaja kufungua ?

Mama Samia anafanya kazi mzuri yes but sifa zingine ni za uongo mkubwa
 
Siwezi kutulia wakati Mama Samia anafanya maajabu! Haya maajabu lazima yasemwe na yapongezwe haswa

Yy ndio kaleta watalii?

Au yy ametoa nafuu gani ya gate fees ?

Kwenye swala la mafuta kweli tunaona mapambano yake hayo mengine no sifa ambazo sio zake
 

Umeongea fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…