GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nasubiri utakavyopumua kwa mirija hiyo siku1. Aishi Manuka
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Mohammed Outtara
6. Victor Agban
7. Okra Messi wa Ghana
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
11. Pape Sakho
Tutaheshimiana tu Msimu huu sawa?
Punguza foreigners wanane tu ndio wanaruhusiwa kwa mechi 1 yaani wanao Anza na na sub1. Aishi Manuka
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Mohammed Outtara
6. Victor Agban
7. Okra Messi wa Ghana
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
11. Pape Sakho
Tutaheshimiana tu Msimu huu sawa?
magalasa matupu ayoMAYELE, MORRISON,AZIZ K [emoji23][emoji23][emoji23] ifike tu hiyo siku
Morison usimtegemee sana huyo hajawahi kuwin award yoyote nchini ,ni msumbufu tu ila si bora kitimu ndo maana hata Simba alikuwa si regular starterIkiwa Mayele alipo cheza na Makambo pale mbele Simba walipoteana vibaya, Sasa wameongezeka Morrison na K Azizz, Fesal yupo nyuma Yao.
Kwa uchache naziona Goli 3/4.
Naunga hoja kabisa Morrison Ana msaada mkubwa kwa mechi za kimataifa huko hawamjui vzr Ila ligi ya ndani ni kawaida Sana alafu wanampanikisha fasta na anajaa.Morison usimtegemee sana huyo hajawahi kuwin award yoyote nchini ,ni msumbufu tu ila si bora kitimu ndo maana hata Simba alikuwa si regular starter
Jitahidi kutumia akili yako mwenyewe katika kufikiri,usikaririshwe,unakumbuka Morson kabla hajaenda makolokoloni aliwafunga goli moja kali sana? Unakumbuka Morson alifanya Nini akiwa anaichezea makolo mechi na Orlando pirates pale Lupaso? Masikini makolo!!!Morison usimtegemee sana huyo hajawahi kuwin award yoyote nchini ,ni msumbufu tu ila si bora kitimu ndo maana hata Simba alikuwa si regular starter
Tunahitaji usumbufu wa Morrison Ili Mayele awe free kufanya yake. Tunahitaji mabeki wa Simba wajue sio Kuna Mayele tu, yupo Morrison na AZZ K na Faisal Ili tuone ubora wa Beki za Simba.Morison usimtegemee sana huyo hajawahi kuwin award yoyote nchini ,ni msumbufu tu ila si bora kitimu ndo maana hata Simba alikuwa si regular starter
Sakho sidhani kama ataendelea kuwepo simba11. Pape Sakho
Unategemea Kumsajili katika Timu yako ya Ukoo Kijijini Kwenu Kyaka Nkunde au?Sakho sidhani kama ataendelea kuwepo simba
10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE1. Aishi Manuka
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Mohammed Outtara
6. Victor Agban
7. Okra Messi wa Ghana
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
11. Pape Sakho
Tutaheshimiana tu Msimu huu sawa?
Huyo Mtu ni kama Mayele 5000 Mkuu.10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
ππ
Manzoki ni Juma Balinya wa msimbazi.10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
ππ