Kwa Mziki huu hakyanani kuna Mtu atakufa Goli 15 kwa 0 tarehe 13 August, 2022

Kwa Mziki huu hakyanani kuna Mtu atakufa Goli 15 kwa 0 tarehe 13 August, 2022

1. Aishi Manuka
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Tshabalala
4. Henock Inonga
5. Mohammed Outtara
6. Victor Agban
7. Okra Messi wa Ghana
8. Clatous Chama
9. Moses Phiri
10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE
11. Pape Sakho

Tutaheshimiana tu Msimu huu sawa?
Huyo Aishi Manuka ndiyo huyo mchezaji mpya mliye msaini juzi kwa mkataba wa miaka mitatu, au!!!

Kweli mtatisha sana.
 
Bamjui kanuni wachezaji wa nje 8 ktk game moja. Hao wote labda mchangani
Mimi nimeona wa nje wako 8 hapo. Au wewe umehesabu vibaya mkuu ?
Wazawa ni
1. Manula
2. Zimbwe
3. Kapombe
Wageni ni
1. Inonga
2. Ouattara
3. Akpan
4. Okrah
5. Chama
6. Phiri
7. Sakho
8. Manzoki

3+8=11

NB: Japokua hicho kikosi naona kama hakija"balance"
 
Unategemea Kumsajili katika Timu yako ya Ukoo Kijijini Kwenu Kyaka Nkunde au?
Kaka mark my words kawekewa dau dola za kimarekani elf 40+ na yule mzee wakutetema bado tu kuweka sahihi yake kwa madiba, wanaogopa kutangaza hizi mambo watawavunja mioyo mashabiki
 
Back
Top Bottom