Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Siwezi kuamini kuwa JPM anapambana na rushwa CCM, wala hawezi kupambana na rushwa CCM kwa sababu madhabahu ya CCM imejengwa na rushwa hivyo mpambanaji halisi awezae kuiondoa rushwa hapa TZ lazima atoke nje ya CCM rushwa bado ipo CCM na itakuwepo milele yote
Pole nyingi kwa rais aitwae mpambanaji ndani ya CCM.
aisee upigaji upo kote hata nje ya ccm upigaji upo,
Lakini baba la upigaji si ni CCM au wewe unasemaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya sawa umesikikaKiukweli kwenye hili ndugu mtoa post umenena mambo ambayo ni kuntu. Ila bado Nina imani na raisi wangu Magufuli mbaye ni mpingaji mkubwa wa rushwa ndani ya chama chetu
View attachment 1523677
Wapigaji wapo kwenye kila chama ila kwa Hili CCM wamezidi Sana maana rushwa imefanyika kiwaziwazi mi naonelea Hili Jambo lifike mwisho maana tunapoelekea CCM ndio itaenda kutoa wagombea wabovu na sio washindani kupita vyama vyoteLakini baba la upigaji si ni CCM au wewe unasemaje?
Sio kwa cheko hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya sawa umesikika
Sawa hayo madhabahu ata Kama yalijengwa kwa rushwa hapo tunazungumzia muda uliopita kwa Sasa hayo hayo madhabahu yanaweza kusafishika na ibada ikaendelea. Mimi binafsi naonelea kwenye Hili chama Kama chama kiangalie kwa umakini Sana majina mbayo watakayoyarudish yawe ya ushindani na Wala wasiangalie wakwanza kapata kura ngapi waangalie tu ubora wa watia Nia wote hizo idadi za kura zilizopigwa zitupwe kule au zibaki tu Kama kumbukumbu za yule aliyezinunua kwa wajumbeSiwezi kuamini kuwa JPM anapambana na rushwa CCM, wala hawezi kupambana na rushwa CCM kwa sababu madhabahu ya CCM imejengwa na rushwa hivyo mpambanaji halisi awezae kuiondoa rushwa hapa TZ lazima atoke nje ya CCM rushwa bado ipo CCM na itakuwepo milele yote
Pole nyingi kwa rais aitwae mpambanaji ndani ya CCM.
Kichwa cha habari yako, hakiendani na unachokiandika kwenye thrd. Kuna nini kichwani?Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P),
Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza inawezekanaje na ni kwanini CCM hujikuta wanatumia nguvu kubwa sana kuvuka na hatimaye kupata ushindi wa chaguzi mbalimbali,
nimekuwa nikijiuluza pia ni kwa namna gani chama imara kama hiki, kikubwa na chenye historia ndefu kinawezaje kusumbuliwa na vyama vidogo na wakati mwengine vyama vipya kabisa kama vilivyoibuka kama CHADEMA, ACT WAZALENDO na vinginevyo
NILICHOJIFUNZA
CCM ni ama imelewa nguvu za madaraka au haihitaji kuendana na wakati nhususani mahitaji husika ya wananchi katika chaguzi zao za ndani wanapotaka kuchagua mwakilishi wao kwenda kushindana na wa vyama vingine.
chaguzi za ndani ya chama hiki kikubwa maarufu kama KURA ZA MAONI ni kichocheo kikuwa sana cha CCM kujikuta wanatumia nguvu kubwa kuwanadi wagombea wao katika chaguzi za kiserikali
nimejifunza kuwa chaguzi za kura za maoni CCM ni kielelezo namba moja cha chama hicho kujichimnbia kaburi la kupata washindani wabovu kulinganisha na vyama vingine, hii inatokana na ukweli wa namna michakato ya chaguzi hizo inavyopatikana ikwemo upigwaji wa kura, muda wa kujinadi, ufahamu wa wajumbe kuhusu wagombea, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na mzizi mkuu RUSHWA
nimefuatilia chaguzi nyingi zilizopita namna wajumbe walivyowanyoa wagombea ambao walipewa chinin ya dakika 3 kujinadi ambapo kundi kubwa la wagombea hao waliambulia kura 0 na wengine namba za viatu
MTIHANI WA RUSHWA
sijui kama TAKUKURU wanaweza kunikosoa kwenye hili, lakini kwa dhahiri shairi na kwa macho tu ya kawaida, haikuwa rahisi kwa mgomea wa CCM akashinda kura za maoni kama hajatoa kiasi kikubwa cha pesa kulinganisha na wagombea wenzake.
tafiti zisizo rasmi zimeonyesha pasi na shaka namna Wabunge wanaotetea nafasi zao, wafanyaiashara wakubwa, na watu wengine wenye uchumi mkubwa walivyoweza kushinda kura za maoni bbila kujali uwezo wao wa kuchambua masuala yanayowahusu watu wanaotaka kuwawakilisha.
hii ndio kusema kwamba linapokuja swala la kura za maoni, wajumbe wa kura hizo wa CCM hufumba macho yao kuchagua kiongozi mwenye uwezo na badala yake huangalia nani amewapa nini kumzidi nani...HATARI SANA HII
MAJUNGU NA FITNA
katika somo kubwa lingine ni uwezo wa wagombea wengi walioshinda na kushindwa kura za maoni kutengeneza uwongo na majungu dhidi ya wagombea wenzao wanaohisi kuwazidi vigezo vya ushindi ama uteuzi katika vikao vya juu.
udhaifu wa vyombo vya ulinzi na usalama kwa ngazi za wilaya na mikoa umewafanya wagombea walioshinda ama kushindwa kufanikiwa kuwatengenezea tuhuma wenzao wanaohisi kuwa wanaweza kuwazidi sifa za kuteuliwa hivyo kuwatengenezea wakati mgumu.
MJADALA UMEFUNGULIWA
tatizo ni MAJIZI.Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P),

Magufuli amedhamiria kupambana na rushwa kwa hali zoteSawa hayo madhabahu ata Kama yalijengwa kwa rushwa hapo tunazungumzia muda uliopita kwa Sasa hayo hayo madhabahu yanaweza kusafishika na ibada ikaendelea. Mimi binafsi naonelea kwenye Hili chama Kama chama kiangalie kwa umakini Sana majina mbayo watakayoyarudish yawe ya ushindani na Wala wasiangalie wakwanza kapata kura ngapi waangalie tu ubora wa watia Nia wote hizo idadi za kura zilizopigwa zitupwe kule au zibaki tu Kama kumbukumbu za yule aliyezinunua kwa wajumbe
Rushwa rushwa umekuwa wimbo wa taifa kwa CCM Nani atawesa kulimaliza Hili??Kwanza nikupongeze Sana mtoa udhii na hi ndio true meaning of great thinkers.
Nikirudi kwenye hoja yako ya msingi mimi naona hapo mkombozi wa haya yote ni Mh. John Pombe Magufuli kwa moyo wa dhati kabisa ndio yeye mpambanaji mkubwa wa kuchukia rushwa na Kama ilivyo kawaida kwake kupambana na rushwa kwenye serekal yake na Nguvu anayoitumia kule nadhani hiyo Nguvu itumike kwenye chama chake ambacho yeye ndio m/kiti na kwa mfano tu aanze na hizi chaguzi za kura za maoni za ndani ya CCM kiukweli rushwa imetamalaki kwa kiwango Cha mwendo Kasi na imefikia rushwa kutolewa njee njee kabisa kana kwamba Kama TAKUKURU hawapo au hao wenye ni part of that game.
Kiukweli kwa hapa mh Magufuli anaombwa Sana kuwatetea wale wagombea wenye uwezo wa kujenga hoja na uwezo mkubwa wa kiuongozi na hawakuto rushwa kuliko kuwaacha wale mafisadi na watoa rushwa ambao wanasababisha chama kutokupata wagombea wazuri na pia kukipa kazi kubwa chama kuwanadi wagombea wasio uzika kabisa
CCM ni baadhi ya watu wanaendekeza rushwa lakini naamini viongozi wakuu watalikemea hilo na kupambana nalo waziwazi,tuna imani na Magufuli.Wapigaji wapo kwenye kila chama ila kwa Hili CCM wamezidi Sana maana rushwa imefanyika kiwaziwazi mi naonelea Hili Jambo lifike mwisho maana tunapoelekea CCM ndio itaenda kutoa wagombea wabovu na sio washindani kupita vyama vyote
Tuombe Sana Mungu raisi apate moyo wa kijasiri Kama huo wa kukisafisha chama chake kando na rushwaNdio pekee anayetegemewa kukomesha rushwa ndani ya CCM na wanaCCM kujifunza kuchagua mgombea mwenye uwezo wa kuongoza na sio mgombea mwenye fedha
Hasa jimbo la Kibaha,rushwa kwa wajumbe ilikuwa waziwaziHapa ndugu yangu upo sahihi kabisa kabisa maana wa kulivalia njuga ni mwenyekiti wao Magufuli
Mwenyekiti alishasema toka awali,kuwa atakayetoa rushwa asitegemee kupitishwa kabisa,natumai atalisimamia hiloSio uzee tu hapa Kuna Jambo la msingi kwa mwenyekiti wetu taifa kufanya jambo
Wale wote walio ongoza kwa kura nyingi kupita wa kwanza na wa pili kwa maana ya gap kuwa kubwa Sana mi naona wote majina yao yasirudi kabisaBila kupepesa macho wagombea wa CCM Kama watapitishwa wale ambao wamepita kwa kutoa rushwa hi itaenda kufanya upinzani kupita majimbo na kata nyingi Sana
Hi tafiti naweza nikaikubali kwa namna hali ya chaguzi za kura ya maoni ndani ya CCM jinsi hilivyo endaenda maana rushwa ilikuwa wazi kabisaKwa watafiti wa siasa kuna majimbo 27 wanaongoza wana CCM ambao uhakika wa kutetea majimbo ni mdogo kuliko walio chukua nafasi ya pili na ya tatu. Siasa ni sayansi.
Tujenge Imani ndugu uwenda akazindukaSiwezi kuamini kuwa JPM anapambana na rushwa CCM, wala hawezi kupambana na rushwa CCM kwa sababu madhabahu ya CCM imejengwa na rushwa hivyo mpambanaji halisi awezae kuiondoa rushwa hapa TZ lazima atoke nje ya CCM rushwa bado ipo CCM na itakuwepo milele yote
Pole nyingi kwa rais aitwae mpambanaji ndani ya CCM.