siri ya mafanikio na kutajirika ni roho mbaya.
Nishaleta mada kuwa matajiri wa roho mbaya ambayo muwezi kuona.
ukiwa na roho nzuri tambua unakuwa kapu la watu kujinufaisha na maisha yao.
kitu cha kwanza katika maisha yangu sipendi marafiki bora wa kusalimiana tu tosha,sio wa kujuana kiundani.
sipendi mazoea sijui kukutana bar,nyumba za ibada,kazini,biashara na n.k kila mtu hakae mbali na mwenzake.
sitaki watu wanifahamu kwenye biashara yangu na hilo nilishawaambia sana kwenye uzi wangu nilitoa kuhusu biashara jinsi matajiri hawapendi kuonekana kwenye biashara zao.
ukifanya haya unatoboa