New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Anaenda kutrade fworex, ndani ya mwezi anamrudishia mifwedha yake 🤣🤣Umkopeshe MILIONI 2.5?!?!
Hana adabu kabisa huyo!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kutrade fworex, ndani ya mwezi anamrudishia mifwedha yake 🤣🤣Umkopeshe MILIONI 2.5?!?!
Hana adabu kabisa huyo!!!
Ndiyo mkuu baba! nipo tyarianhaa nmekuelewa ni sawa kama hutaki akuzonge zonge.... je kama mdau apo anavyoeleza kwa viwango hivyo vya pesa je upo tayari kupoteza ili kuepuka kuzongwa au upo tayari kusubiri pesa ambayo unajua fika huipati na hata ukiipata itakua kwa kuchelewana kusuwasuwa na bado unamatumizi nayo... Lengo tu ni asikuzonge zonge. Je upo tayari kwa hilo?
sawaNdiyo mkuu baba! nipo tyari
Slogan chungu hii...Hizo hela mnazodhulumiwa mngesaidia wahitaji mngeongezewa maradufu.
"Kukopesha hela Ni kipaji Cha masikini"-- kumbuka hilo
Asante sana kwa wosia muhimu sana mkuu.Bro usimkopeshe tena mtu hadi roho wa mungu akushukie akupe maelekezo,binafsi nimepoteza baadhi ya Ndugu na marafiki, watu wanakopa wanaingia mitini, wengine wanatengeneza mazingira ya kutaka waliwe... Shida tupu.
Bado hujakuwa endelea kujifanya baba huruma. Mtu anakukopa wewe pesa badala ya kusema huna unaenda kuchukua pesa ya mtaji unampatia?? Unastahili ufilisike pengine akili itakurudiaDuuuh...kusaidia mtu wakati wa matatizo kumbe pia ni ujinga ujinga?