Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

Kwa namna hii kuna haja ya kuwa na marafiki kweli?

anhaa nmekuelewa ni sawa kama hutaki akuzonge zonge.... je kama mdau apo anavyoeleza kwa viwango hivyo vya pesa je upo tayari kupoteza ili kuepuka kuzongwa au upo tayari kusubiri pesa ambayo unajua fika huipati na hata ukiipata itakua kwa kuchelewana kusuwasuwa na bado unamatumizi nayo... Lengo tu ni asikuzonge zonge. Je upo tayari kwa hilo?
Ndiyo mkuu baba! nipo tyari
 
siri ya mafanikio na kutajirika ni roho mbaya.
Nishaleta mada kuwa matajiri wa roho mbaya ambayo muwezi kuona.

ukiwa na roho nzuri tambua unakuwa kapu la watu kujinufaisha na maisha yao.

kitu cha kwanza katika maisha yangu sipendi marafiki bora wa kusalimiana tu tosha,sio wa kujuana kiundani.

sipendi mazoea sijui kukutana bar,nyumba za ibada,kazini,biashara na n.k kila mtu hakae mbali na mwenzake.

sitaki watu wanifahamu kwenye biashara yangu na hilo nilishawaambia sana kwenye uzi wangu nilitoa kuhusu biashara jinsi matajiri hawapendi kuonekana kwenye biashara zao.


ukifanya haya unatoboa
 
Bro usimkopeshe tena mtu hadi roho wa mungu akushukie akupe maelekezo,binafsi nimepoteza baadhi ya Ndugu na marafiki, watu wanakopa wanaingia mitini, wengine wanatengeneza mazingira ya kutaka waliwe... Shida tupu.
Asante sana kwa wosia muhimu sana mkuu.

hawa wa kuliwa tayari washaanza kuingia kingi. Alieacha Tv naona analegea tu kinamna.

Mkopo umefika 72,000 na sioni dalili ya kulipwa
 
Duuuh...kusaidia mtu wakati wa matatizo kumbe pia ni ujinga ujinga?
Bado hujakuwa endelea kujifanya baba huruma. Mtu anakukopa wewe pesa badala ya kusema huna unaenda kuchukua pesa ya mtaji unampatia?? Unastahili ufilisike pengine akili itakurudia
 
Acha ujinga wew endelea kumix biashara na urafiki
Apo kwa harakaharaka ela ambayo aujalipwa ni kama laki 8 ambayo ndo faida ya mwezi mzima iyo Kwaio chagua uendeleze urafiki wako wa uchwara biashara ife au urafiki ufe biashara iendelee
 
Pole sana!! Bila shaka ushajifunza vyakutosha!
 
Back
Top Bottom