TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,886
- Thread starter
- #41
Can you imagine bado jamaa amepata ujasiri wa kuniomba tena pesa yaaniMarafiki hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you imagine bado jamaa amepata ujasiri wa kuniomba tena pesa yaaniMarafiki hatari sana
No!! wee! mkopeshe akukimbie vizuri!!...ukimpa atakuwa anakuja mara kwa mara kukutembelea na vistory viiingi visivyoisha!ni kweli ving'ang'anizi wapo ila kama hupendi mabishano na ugomvi we mpe tena kiasi tu kidogo kwa kumsaidia na si kumkopesha zaidi ya hapo labda kama upo tayari kwa shari kipindi atakapoanza chenga.
unaonekana ni mpole kupitiliza na watu wanatumia huo upenyo. Jifunze kuwa mkali kidogo.Can you imagine bado jamaa amepata ujasiri wa kuniomba tena pesa yaani
Soon atakushika makalio, endelea kumuendekeza hivyo hivyo.Hahahaaaa inahitaji moyo sanaaaa
Jamaa ana ujasiri sana,Huyu ni namba mbili hapo juu yaaniView attachment 2186909
Nawaza hivi anakuwa anawaza nini?...unaonekana ni mpole kupitiliza na watu wanatumia huo upenyo. Jifunze kuwa mkali kidogo.
Sio hata kumuendekeza, ila najiuliza anapataje ujasiri wa kurudi kwangu kuniomba pesa ilhali kuna nyingine namdai...Soon atakushika makalio, endelea kumuendekeza hivyo hivyo.
Mbwa ukimuendekeza atakufuata Hadi msikitini.Sio hata kumuendekeza, ila najiuliza anapataje ujasiri wa kurudi kwangu kuniomba pesa ilhali kuna nyingine namdai...
Nimesoma msg yake nikacheka tu na kumpotezea maana hata kumjibu sijajua namjibu nini yaani
Mkuu mimi ni.mtu na nusu, nikikukopesha pesa yangu, na ukazingua kuileta hata kwa siku 1, hizo kelele zake hutokaa unisahauHahaaaaa, mkuu kwa sababu ya jina la JF MTU ndo anifanyie makusudi yaani
Kwa kitaalamu inaitwa " kuwajazia nzi"Mkuu mimi ni.mtu na nusu, nikikukopesha pesa yangu, na ukazingua kuileta hata kwa siku 1, hizo kelele zake hutokaa unisahau
kwa kifupi, nafanya biashara ya kukopesha pesa, napata faida ya laki moja kwa wiki.
kama sio kuwa na roho ya Hitler, ningekuwa natapeliwa kama wewe.
Nilianza na 50,000 tu na sasa pesa imefika 750,000.
Nakopesha kwa wiki 1 moja, ukizidisha lazima mwenyekiti, balozi, majirani wajue labda utoe riba uendelee na mkopo😎
Wakija tena uwe unawaelekeza ofisi ya mikopo wanayotoa mikopo ya dharura, ninaweza kukupa no za kampuni mbili wanatoa mikopo ya dharura kama hizi riba ni 10% kwa mwezi, tuone kama hawatolipa.Mkuu biashara ya miamala ya kifedha si ya siri, anaona unavyobadilishana pesa na wateja, kwa hiyo kwenye mazingira ya dharura sana na kwa kudhani kuwa wataona umuhimu wa kutokuangusha biashara unavaa ubinadamu na kutoa pesa, lakini kumbe wao fikra zao zipo tofauti kabisa na tatizo linaanzia hapo
Mjibu wewe mbwa usinizoeee.Hahahaaaa inahitaji moyo sanaaaa
Jamaa ana ujasiri sana,Huyu ni namba mbili hapo juu yaaniView attachment 2186909
Very good idea, naomba nipe namba zao aisee, MTU akihitaji kukopa tu nampa namba na kumwambia mimi pia nimekopa hapo juzi tu...hahahaaaWakija tena uwe unawaelekeza ofisi ya mikopo wanayotoa mikopo ya dharura, ninaweza kukupa no za kampuni mbili wanatoa mikopo ya dharura kama hizi riba ni 10% kwa mwezi, tuone kama hawatolipa.
Nimemkaushia tu bila kumjibu chochote, na akirudi tu cha kwanza ni kumdai pesa yanguMjibu wewe mbwa usinizoeee.
Hiyo ya kuwapa namba za kukopa nimeipenda zaidi, nitaitumia haswaaaJifunze kusema SINA