Kwa namna hiyo siri za nchi zitakuwa salama vipi kama CS mstaafu anazungushwa malipo yake?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200

Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
 
Zitakuwa ndo zile milioni 196 wanazojikopesha kununua magari......dah! yeye ndo alitakiwa aweke mambo sawa akiwa bado ofisini, acha ikae hivyo...
 
Kila kukitokea mkutano unaohusu mjadala wa katiba mpya,namsihi awe anajitokeza,atoage maoni yake,ili katiba bora ipatikane.Haya yanayotokea kwake ambayo hakutegemea kukutana nayo,yasije yakamkuta mtoto wake huko mbeleni.Pole sana mzee.
 
Kabisa,wasiishie kusifia tu

Ova
 
Kama mtu aliyekua mzito kama huyu na mwenye ushawishi katika kila wizara anazungushwa basi kwa watu wa kawaida ni majanga.. Ndiyo maana ni vizuri wanapokuwa na vyeo watengeneze Taasisi imara zinazowajibika..
Tatizo wakiwaga kwenye viyoyozi wanaona kama mambo mengine hayawezi kuwakuta.
 
View attachment 2357624

Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
Acha azungushwe tu ili wakiwa madarakani wajifunze kuweka systems ambazo zitafanya kazi kwa haki bila kujali ikiwa mtu ana refarii au laa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…