Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tatizo tunawachukulia poa ...yaani kana kwamba tunawasaidia na sio kuona kuwa tumewaajiriTunaupiga mwingi, tatizo kubwa hatuamini makocha wazawa.
Noma sana Mzabzab, tunatakiwa tuwaaminiTatizo tunawachukulia poa ...yaani kana kwamba tunawasaidia na sio kuona kuwa tumewaajiri
Hilo ndio la msingi mwanawane. Shida miafrica ngozi nyeusi na roho zao nyeusi vilevileNoma sana Mzabzab, tunatakiwa tuwaamini
Tusipobadilika tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimuHilo ndio la msingi mwanawane. Shida miafrica ngozi nyeusi na roho zao nyeusi vilevile
Na mwingi akivuta bila kwenda kumuomba atengue kauli ndio itakuwa ntoleeeTusipobadilika tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu
Hahahahaha noma sana mkuuNa mwingi akivuta bila kwenda kumuomba atengue kauli ndio itakuwa ntoleee
Sie wngese sana baadala ya kumpa mamilion mzawa tunampa mgeni amabaye anaenda kutumia kwao huko lakini ukimpa mzawa hapa atasaidia kupunguza njaa za warembo wetu kitaa๐๐๐๐Hahahahaha noma sana mkuu
Naam mkuu, tubadilike aisee.Sie wngese sana baadala ya kumpa mamilion mzawa tunampa mgeni amabaye anaenda kutumia kwao huko lakini ukimpa mzawa hapa atasaidia kupunguza njaa za warembo wetu kitaa๐๐๐๐
LAbda mtashinda njaa.Niko Live Azam Sport 3.Mungu Yuko Pamoja Nasi Tutashinda Inshallah
NAKAZIAGame ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya nini benchi?
Kwa hizi game mbili vs game ya majaribio na Egypt na game ya Morroco ni wazi kocha mtanzania amefanya kazi kubwa sana kupanga kikosi. Ametumia wachezaji wale wale kupata first eleven nzuri. Naamini angeanza toka mwanzo tungekuwa na timu bora zaidi ya tuliyonayo..
Kibaya zaidi unaweza kukuta huyu Mtanzania analipwa mshahara na posho ndogo mgeni analipwa zaidi ya mara 10 yake.
Tuachane na rangi tujali watu wetu kimaslahi na kikazi.