johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Joni hiyo inaitwa akili kumkichwa,ama zakuambiwa changanya na zakwako.Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali...
Wakati upo makao makuu hukuiona?Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali...
Ina maana ww uliamini ile ni ilani au orodha ya mahitaji ya binadamu? Ile ilani ni uhuni kama uhuni mwingine. Nimeshasema sana hapa jukwaani kuwa hakuna uwezekano wa kuwa na ilani iliyoandikwa kila hitaji la wananchi, wakati uwezo wa kuhudumia kama hiyo ilani ilivyo ni chini ya 30%.Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali...
Unaweza kudanganya watu wote kwa muda fulani.lakini huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.KWELI MACCM NI WAKOLONI WEUSI TANZANIA.Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali...