Mimi nimekaa nimefikilia nikakosa Jibu....kwa show ilivyo kuwa ya Amsha Amsha vile, na hasa pale walivyofanya Diamond Mohombi na Mwenzie....Angekuwa Alikiba Angeperform wimbo gani Eti?
Nauliza tuuu.....najaribu kuiweka Aje lakini inagoma
Sioni nyimbo ambayo ingefana ya huyu bwana mdogo KIBAKULI labda kama angeazima MY NUMBER ONE REMIX ya MOND na kuiimba kama mshiriki wa BONGO STAR SEARCH hapo sawa.