Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
usijali mimi waziri nimelipokea next time atapewa kibaUkweli mnachoharibu team WCB ni kumtaja kiba kila mnapomzungumzia Mond,kwa namna hii hamuwez kumshusha mtazidi Kumpaisha kwani kila tunapomsahau kiba nyie mnatukumbusha kwa nguvu zote na kuangalia madhaifu ya Diamond na kumkamilisha Kiba, kwa show ya Jana na kwa tunaojua Muziki Mond ashukuru ile collable na Mohombi angalau ilileta nuru otherwise kwa alichokifanya peke yake ni show tu pekee, hebu mlinganishe Diamond na yule jamaa aliyekuja baada ya Domo na Mohombi kushuka jukwaani MC+ Yule jamaa mwenye Misuli Minene wale ndio wanamuziki sio wacheza show! Next time serikali ihangalie wa kuwapa bendela