Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitwa "YOOH!"Angeimba ile iliyobeba tuzo Nigeria, Tanzania, France, London, Uganda, Kenya, Marekani nk sijui inaitwaje ile nyimbo mtu mmoja AJE atukumbushe inavyoitwa
Wewe ni mwanaume?Sura unayo sio mtoto mzuri?Wengi wenu mnamchukia KIBA wakat hata bajaji hamnaa...Sometimes Ni vizuri kujielewa..Wote ambao mnamtusi Kiba hamna lolote la maishan. Most of you ni walala hoi, sura hamna, swagga zeroo...Jiangalie kwa kioo to confirm kama nazungumzia wewe
kwa nini umemtaja kiba?Mimi nimekaa nimefikilia nikakosa Jibu....kwa show ilivyo kuwa ya Amsha Amsha vile, na hasa pale walivyofanya Diamond Mohombi na Mwenzie....Angekuwa Alikiba Angeperform wimbo gani Eti?
Nauliza tuuu.....najaribu kuiweka Aje lakini inagoma
HahahahahIle show inahitaji Performers tu..!
Angeitwa Ali Kiba
hata JPM lazima angetoa tamko..
Unadhani nani anataka fedheha kwa nchi yake..
fursa kama hizo huwa haziachi zipite kizembe zembeView attachment 459980
Naona Baba Tifa akili yote haimpi kabisa. Mawazo yote kwa Akon. Lazima ifanyike connection. Gabon hiyo, kwenye rehearsal jana.