Kwa Nature ya Show ya Gabon...Alikiba Angeperform wimbo Gani?

Kwa Nature ya Show ya Gabon...Alikiba Angeperform wimbo Gani?

Ule wimbo wa AIRTEl yuko na R.Kelly...Anaweza ishia kusema POP IT UP.YOOOOOOO......hahah
 
Mondi c wa mchezo mchezo hapendagi ujinga kabisa
 
Wengi wenu mnamchukia KIBA wakat hata bajaji hamnaa...Sometimes Ni vizuri kujielewa..Wote ambao mnamtusi Kiba hamna lolote la maishan. Most of you ni walala hoi, sura hamna, swagga zeroo...Jiangalie kwa kioo to confirm kama nazungumzia wewe
Wewe ni mwanaume?Sura unayo sio mtoto mzuri?
 
Jamaa anawawasha sana huyu...king endelea kuwaonesha who are u bro bado wanaweweseka.
 
Kama si ule wimbo wa pamoja wa mashindano hali ilikuwa ngumu sana.
Nana ilikuwa nene kwake anaimba mengine CD inaimba mengine....


Kiba angeimba wimbo wa kuwasha mwenye na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro.
Ngoma jana ilikuwa ngumu sana pale hata Davido alijikuta akifunikwa hata na MC.

Jukwaa alilipatia Mohombi....


[/b]Dunia Uwanja wa Fujo[/b]
 
Ukweli mnachoharibu team WCB ni kumtaja kiba kila mnapomzungumzia Mond,kwa namna hii hamuwez kumshusha mtazidi Kumpaisha kwani kila tunapomsahau kiba nyie mnatukumbusha kwa nguvu zote na kuangalia madhaifu ya Diamond na kumkamilisha Kiba, kwa show ya Jana na kwa tunaojua Muziki Mond ashukuru ile collable na Mohombi angalau ilileta nuru otherwise kwa alichokifanya peke yake ni show tu pekee, hebu mlinganishe Diamond na yule jamaa aliyekuja baada ya Domo na Mohombi kushuka jukwaani MC+ Yule jamaa mwenye Misuli Minene wale ndio wanamuziki sio wacheza show! Next time serikali ihangalie wa kuwapa bendela
 
akili fupi

ushindanisho wa kiba na diamond unakusaidia nini?
Mimi nimekaa nimefikilia nikakosa Jibu....kwa show ilivyo kuwa ya Amsha Amsha vile, na hasa pale walivyofanya Diamond Mohombi na Mwenzie....Angekuwa Alikiba Angeperform wimbo gani Eti?

Nauliza tuuu.....najaribu kuiweka Aje lakini inagoma
kwa nini umemtaja kiba?
 
Hana huo uwezo ndio maana hakupewa nafasi hiyo...HAWEZI hizo mambo
 
Ifike sehemu tuache kumfananisha kiba na mond jamani maana sio fair. Diamond ni maji marefu kweli kweli tumpe hadhi yake, na tuanze kumfananisha na wenzie kina mohombi davido na wengine.
 
Back
Top Bottom