Kwa Nature ya Show ya Gabon...Alikiba Angeperform wimbo Gani?

Kwa Nature ya Show ya Gabon...Alikiba Angeperform wimbo Gani?

Ukweli mnachoharibu team WCB ni kumtaja kiba kila mnapomzungumzia Mond,kwa namna hii hamuwez kumshusha mtazidi Kumpaisha kwani kila tunapomsahau kiba nyie mnatukumbusha kwa nguvu zote na kuangalia madhaifu ya Diamond na kumkamilisha Kiba, kwa show ya Jana na kwa tunaojua Muziki Mond ashukuru ile collable na Mohombi angalau ilileta nuru otherwise kwa alichokifanya peke yake ni show tu pekee, hebu mlinganishe Diamond na yule jamaa aliyekuja baada ya Domo na Mohombi kushuka jukwaani MC+ Yule jamaa mwenye Misuli Minene wale ndio wanamuziki sio wacheza show! Next time serikali ihangalie wa kuwapa bendela
usijali mimi waziri nimelipokea next time atapewa kiba
 
Usiniseme[emoji445] [emoji445] [emoji450]
 
unajua tafiti zinaonyesha moja ya dalili za mashoga ni kutamani kuwaza awe mwanamke au anamuwazia mwanaume mwenzake awe mwanaume

Believe me, kama wewe ni mwanaume kweli, uliyekomaa, una nywele za ugoko mpaka makalioni, you will never imagine your fellow brother or a man to resemble like women it is absurd!!

naomba tuishie hapa mkuu, tushaonywa kitambo dalili hizi sio
ha haaa haaaa povu!
yaishe mkuu
 
Back
Top Bottom