Kwa nchi kama Tanzania mtu wa kijijini akifa kwa coronavirus kama hajaenda hospitali serikali inajuaje?

Hawana habari naye kabisa.
Wananchi watazika tu, na sababu ya umauti inaweza ikaandikwa kuwa ni malaria, kazi kwisha.
 
Mkuu hoja yako haina mashiko kabisa.
Kwahiyo unavyo3lewa nchi zote duniani zina nguvu sawa za kiuchumi kutekeleza hayo?
Pia kifo hakijifichi
Kama wewe hapo hujafa na uko unatype kwa simu wala yule hujamliripoti basi ujue bado maambukizi si mengi ikifika siku utawajua tu sio kwa vipimo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uingereza wenyewe wanakwambia idadi wanayotaja haihusishi watu ambao hawajafia hospitali, wao wanachukua figure za hospitalini tu, na hata kupima hovyohovyo wameacha, leo ije kuwa tanzania
Hii wameisemea wapi mkuu, ingependeza kama unayo 'source' ya tamko hilo.

Naona hapa unalisha watu matango pori, kama huna chanzo cha habari hiyo.
 
Inawezekana vijiji vya mbali wanafikiri korona ni mnyama fulani,au mdudu fulani, ebu waandishi watusaidie watembelee huko.
 
hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje?

Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. watu wanafikiri kwamba nchi za uraya na marekani watu wengi wamekufa kuliko mabara mengine.

lakini ukweli ni kwamba nchi za uraya na marekani zina utaratibu mzuri wa kufanya autopsy kwa kila anaye kufa, nakuweka tarifa hadharani bila kuficha. Yaani nchi za uraya hakuna anaye zikwa bila madakitari kutoa report ya kilicho sababisha kifo chake. Nchi kama china wanajulikana kwa kupika takwimu na kuficha ukweli hivyo kuna uwezekano china ina watu wengi waliokufa kuliko nchi nyingine yoyote ila hawakuripotiwa.

Kumbuka china walianza kupambana na ugojwa huu tangu mwishoni wa mwaka jana. Yaani baada ya hii coronavirus kuisha tunahitaji kufumuwa mifune yote ya utawala ili tusuke upya. Huu ugojwa wa coronavirus umeonyesha jinsi viongozi wa Africa wasivyo jari wananchi wao. Viongozi wengi wa afrika kitu mhimu kwao sio uhai wa wananchi bali ni uhai wa utawala wao.

Ndio maana unaona wafirika wanavyo fanyiwa unyama huko china lakini hakuna hata kiongozi moja aliyempigia simu raisi wa china kumweleza au hata kutoa kauli ya kukemea china kwa unyanyasaji wa kibaguzi wanao fanyiwa wafirika wano ishi huko china. Pia wafirika hasa watanzania sasa tubadili mtazamo na tabia.

Katika nchi za afrika hasa Tanzania kuna kasumba ya kuabudu watu wenye ngozi nyeupe. yaani unakuta maofisini mtu mweupe anapewa kipaumbele kuliko mweusi, hii inaitwa selfhaters . kwa wafirika wote wenye akili tuanze kujipenda wenyewe tuache kasumba ya kufikiri watu weupe ni bora kuliko weusi.

Wafrika wote tuanze kupendana na kuinuwana. bila hivyo siku moja hawa watu weupe watakuja kutufuta kwenye uso wa bara na Africa na wataleta watu wao kuja kukaria bara letu.
Mbona kijijini mbali sana mkuu,hata hapa Dar, intelligensia yetu inanusa Mambo ya siasa zaidi kuliko kitu chochote,si hatari kwa uchumi wetu,si ufisadi Wala hatari kwa mstakabari wa watanzania na Mali zao.Bali inanusa hatari zote dhidi ya ccm hata Kama bado unaziwazia kichwani watakudaka,muulize Yerrico Nyerere atakusimulia zaidi
 
Hii wameisemea wapi mkuu, ingependeza kama unayo 'source' ya tamko hilo.

Naona hapa unalisha watu matango pori, kama huna chanzo cha habari hiyo.
Angalia BBC ile ya Uk.
Mkuu wamedondosha vikaratasi vya NHS kila nyumba vina maelezo kwamba ukiwa na dalili Corona usiwapigie simu wewe Fanya self isolation fourteen days, simu wapigie ukifika hatua ya kupumua kwa Shida, kukupima hawaji ng'o, Kuna watu wengi wanaugua then wanarecover bila kupimwa.
 
hizi takwimu za serikali ni maigizo. Hivi Tanzania kuna utaratibu wa kufanya autopsy kwa kila mtu anaye kufa ukoje?

Hili baraa la coronavirus litauwa wengi Africa na wengi hawata ripotiwa. Kwasababu hatuna utaratibu wa kila anaye kufa kufanyiwa uchunguzi wa kujuwa chazo cha kifo chake. watu wanafikiri kwamba nchi za uraya na marekani watu wengi wamekufa kuliko mabara mengine.

lakini ukweli ni kwamba nchi za uraya na marekani zina utaratibu mzuri wa kufanya autopsy kwa kila anaye kufa, nakuweka tarifa hadharani bila kuficha. Yaani nchi za uraya hakuna anaye zikwa bila madakitari kutoa report ya kilicho sababisha kifo chake. Nchi kama china wanajulikana kwa kupika takwimu na kuficha ukweli hivyo kuna uwezekano china ina watu wengi waliokufa kuliko nchi nyingine yoyote ila hawakuripotiwa.

Kumbuka china walianza kupambana na ugojwa huu tangu mwishoni wa mwaka jana. Yaani baada ya hii coronavirus kuisha tunahitaji kufumuwa mifune yote ya utawala ili tusuke upya. Huu ugojwa wa coronavirus umeonyesha jinsi viongozi wa Africa wasivyo jari wananchi wao. Viongozi wengi wa afrika kitu mhimu kwao sio uhai wa wananchi bali ni uhai wa utawala wao.

Ndio maana unaona wafirika wanavyo fanyiwa unyama huko china lakini hakuna hata kiongozi moja aliyempigia simu raisi wa china kumweleza au hata kutoa kauli ya kukemea china kwa unyanyasaji wa kibaguzi wanao fanyiwa wafirika wano ishi huko china. Pia wafirika hasa watanzania sasa tubadili mtazamo na tabia.

Katika nchi za afrika hasa Tanzania kuna kasumba ya kuabudu watu wenye ngozi nyeupe. yaani unakuta maofisini mtu mweupe anapewa kipaumbele kuliko mweusi, hii inaitwa selfhaters . kwa wafirika wote wenye akili tuanze kujipenda wenyewe tuache kasumba ya kufikiri watu weupe ni bora kuliko weusi.

Wafrika wote tuanze kupendana na kuinuwana. bila hivyo siku moja hawa watu weupe watakuja kutufuta kwenye uso wa bara na Africa na wataleta watu wao kuja kukaria bara letu.
Una hoja lakini uandishi wako una matatizo. Herufi ndogo badala ya kubwa, R badala L , hakuna nukta nk

Ukweli Africa bado sana kwenye maisha kuwa standard. Viongozi wa Africa ni kuwatanyia tu ubabe wananchi wao.

Odhis *
 
Angalia BBC ile ya Uk.
Mkuu wamedondosha vikaratasi vya NHS kila nyumba vina maelezo kwamba ukiwa na dalili Corona usiwapigie simu wewe Fanya self isolation fourteen days, simu wapigie ukifika hatua ya kupumua kwa Shida, kukupima hawaji ng'o, Kuna watu wengi wanaugua then wanarecover bila kupimwa.
Umetia chumvi nyingi sana kwa malengo yako mwenyewe.

Kwanza hii uliyoweka hapa ni tofauti sana na ile uliyoweka mwanzo.

Na hata hivyo, katika hii uliyoweka sasa, bado unaionea aibu na kuweka ukweli kiasi kidogo usionekane mwongo wa kutupwa.

Tatizo ni moja. Watu kama wewe mpo huko serikalini; ndio mnaopindisha mambo kwa kushindwa kutoa huduma kwa waTanzania, halafu mnatafuta visingizio na sababu za kipuuzi na mifano ya kilaghai kama uliyoweka hapa.
 
Wewe endelea kutia sukari
 
Back
Top Bottom