GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ushindi kwa Simba SC leo nauona ni wa 20% tu (japo Wakishinda nitashukuru kwani Mechi hii ya leo ni Ngumu hasa kwa nje ya Uwanja), 25% ni Kufungwa na 55% naona ni Sare / Suluhu kwa Simba SC.
Huyo huyo Kiongozi katumiiza kwa Mchezaji Shekhan wa Zanzibar, huyo huyo tena akaja Kutuumiza Mechi ya Fainali ya Mapinduzi Cup Zanzibar tukapigwa Kidude na bado tena mmemuita huko Tabora wakati kule Kagera mlimtenga na Timu ikashinda.
Nyie Viongozi wa Simba SC mnataka GENTAMYCINE niwasaidieni vipi au nifanyeje kuhusu huyo Kiongozi ambaye Kutwa tu Anatumika na Maadui zenu NISIOWAPENDA na ambaye Mjomba wake ndiyo Mganga Mkuu wa Maadui NISIOWAPENDA ambaye ALITUUMIZA vilivyo KINDUMBA / KIUCHAWI na tukafa zile Gongo Tano ( 5 ) za Kutukuka?
Mnanikera sana.