Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,598
- 2,905
Shukran mkuu, ubarikiwe pia! Kuhusu mawasiliano si vema kuyaweka public.Binafsi simfahamu lakini nitumie nafasi hii kukupongeza kwa moyo wa ukarimu mungu akuongoze kwakila jambo na mwisho muweze kuwapata ndugu zake pia ukiweka mawasiliano yako ingependeza zaidi ili wenye kumfahamu waweze kukupigia.
Kutoka hapa nilipo hadi Ngerengere ni mbali mno na ukizingatia kuwa hiki ni kijiji cha mwisho kabisa katka tarafa hii hvyo ni porini mno.mstahi kijana wa watu hata kwa kumpeleka kituo cha polisi kilicho karibu yako
ngerengere huko kuelekea Diguzi kuna uchawi sana.. fulu kuchunana ngozi..
hao huwa wanafanyiwa michezo na ndugu zao ili wakafie mbele.Kutoka hapa nilipo hadi Ngerengere ni mbali mno na ukizingatia kuwa hiki ni kijiji cha mwisho kabisa katka tarafa hii hvyo ni porini mno.
Kuna kisa nakisikia pia hapa Kijijini kuwa kuna mtu mwenye hali hii alifika hapa kijijini alikuja akaranda randa bila kupata msaada mwishowe akafariki.. pamoja na hayo nitampeleka kwenye uongozi wa Kijiji mkuu.
Inasikitisha sana mkuu!hao huwa wanafanyiwa michezo na ndugu zao ili wakafie mbele.
mtu kama huyo anapakizwa gari zinazoenda mbali sana maeneo ya vijijini huko kabisa. akifika anakosa msaada so anahangaika na kufia huko
Kuna mdada mmoja aliwahi kufanyiwa hivyo, kapandishiwa gari mbezi mwisho kwenda diguzi ndani ndani bila msaada, hakuweza kurudi dar huku ana mtoto
life is not fair
hao huwa wanafanyiwa michezo na ndugu zao ili wakafie mbele.
mtu kama huyo anapakizwa gari zinazoenda mbali sana maeneo ya vijijini huko kabisa. akifika anakosa msaada so anahangaika na kufia huko
Kuna mdada mmoja aliwahi kufanyiwa hivyo, kapandishiwa gari mbezi mwisho kwenda diguzi ndani ndani bila msaada, hakuweza kurudi dar huku ana mtoto
life is not fair
maisha ni safari ngumu sana mkuuInasikitisha sana mkuu!
kwa kweli alifanikiwa kupanda gari bila kulipa nauli kimaficho, ila alipofika Ngerengere alishushwa kwa nguvu na kondakta.Aisee,nimeumia sana walikufa yeye na mtoto mkuu
Ameen!!MUNGU atakulipa kwa msaada wako.
kwa kweli alifanikiwa kupanda gari bila kulipa nauli kimaficho, ila alipofika Ngerengere alishushwa kwa nguvu na kondakta.
Yule dada alikuwa kama ana upungufu flani katika mfumo wa akili.
Ifikie hatua sasa serikali iwe inawachukua kwa nguvu hawa watoto wanaolelewa na wamama vichaa
Hello!WanaJF, salaam kwenu.
Mtajwa hapo juu kijana wa kiume mwenye umri (kwa kukadiria) wa miaka kati ya 19 hadi 24 ameonekana.
Kijana huyo ni kama ana upungufu wa akili lakini ukimchunguza vizuri ni kama aliyepoteza kumbukumbu tu.
Anadai kwamba yeye ni mwenyeji wa "Mlandizi bondeni" na baba yake anaitwa Johnpili na ni mwenyekiti wa Mlandizi bondeni. Dada yake anadai anaitwa "Vigi"
Amevaa suruali ya jeans iliyochanika mguu wa kulia kwanzia chini hadi juu karibu na kalio na t-shirt ya buluu bahari.
Anaulizia sehemu mbili;
1. DAWASA
2. JESHINI
Alionekana tangu jana na watu wanaonekana kutojali kabisa. Leo katika pita pita zangu nikamkuta akiwa amelala njiani ameishiwa nguvu nadhani ni njaa, nilipatwa na huruma kuu nimempatia chakula na maji.
Kwa wanaomfahamu wakuu tafadhali yupo huku.
Location:
Ni huku lilipo shamba la Mkulazi 1 (tarafa ya Ngerengere, kata Mkulazi, kijiji Usungura).
Asanteni.
Hello! nawashukuru sana kwa msaada wenu na upendo wa dhati,Mungu atawalipa pale mlipoonesha upendo na ushirikiano wa dhati kwetu,hivyo sisi kama Familia tumerudi kushukuru maana tumefanikiwa kumpata kijana wetu akiwa salama kabisa.Shukurani nyingi kwa mtoa habari hii na Mungu amfanikishe sana sanaWanaJF, salaam kwenu.
Mtajwa hapo juu kijana wa kiume mwenye umri (kwa kukadiria) wa miaka kati ya 19 hadi 24 ameonekana.
Kijana huyo ni kama ana upungufu wa akili lakini ukimchunguza vizuri ni kama aliyepoteza kumbukumbu tu.
Anadai kwamba yeye ni mwenyeji wa "Mlandizi bondeni" na baba yake anaitwa Johnpili na ni mwenyekiti wa Mlandizi bondeni. Dada yake anadai anaitwa "Vigi"
Amevaa suruali ya jeans iliyochanika mguu wa kulia kwanzia chini hadi juu karibu na kalio na t-shirt ya buluu bahari.
Anaulizia sehemu mbili;
1. DAWASA
2. JESHINI
Alionekana tangu jana na watu wanaonekana kutojali kabisa. Leo katika pita pita zangu nikamkuta akiwa amelala njiani ameishiwa nguvu nadhani ni njaa, nilipatwa na huruma kuu nimempatia chakula na maji.
Kwa wanaomfahamu wakuu tafadhali yupo huku.
Location:
Ni huku lilipo shamba la Mkulazi 1 (tarafa ya Ngerengere, kata Mkulazi, kijiji Usungura).
Asanteni.
Kila la heri na MUNGU awabariki pia.Hello! nawashukuru sana kwa msaada wenu na upendo wa dhati,Mungu atawalipa pale mlipoonesha upendo na ushirikiano wa dhati kwetu,hivyo sisi kama Familia tumerudi kushukuru maana tumefanikiwa kumpata kijana wetu akiwa salama kabisa.Shukurani nyingi kwa mtoa habari hii na Mungu amfanikishe sana sana
Ubarikiwe sana mkuu.Kila la heri na MUNGU awabariki pia.
Nichukue fursa hii kukushukuru kwa kuutambulisha vyema mtandao wetu pendwa wa jamii forum,mtandao wenye watu makini na wabobezi kwenye mambo mbalimbali kwakwel nimefarijika sana,Mungu akuzidishie hekima na maarifaKila la heri na MUNGU awabariki pia.