dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Usungura nakupata sana huko unalima?Kutoka hapa nilipo hadi Ngerengere ni mbali mno na ukizingatia kuwa hiki ni kijiji cha mwisho kabisa katka tarafa hii hvyo ni porini mno.
Kuna kisa nakisikia pia hapa Kijijini kuwa kuna mtu mwenye hali hii alifika hapa kijijini alikuja akaranda randa bila kupata msaada mwishowe akafariki (ilikuwa mwaka jana..) pamoja na hayo nitampeleka kwenye uongozi wa Kijiji mkuu.