Usungura nakupata sana huko unalima?Kutoka hapa nilipo hadi Ngerengere ni mbali mno na ukizingatia kuwa hiki ni kijiji cha mwisho kabisa katka tarafa hii hvyo ni porini mno.
Kuna kisa nakisikia pia hapa Kijijini kuwa kuna mtu mwenye hali hii alifika hapa kijijini alikuja akaranda randa bila kupata msaada mwishowe akafariki (ilikuwa mwaka jana..) pamoja na hayo nitampeleka kwenye uongozi wa Kijiji mkuu.
Kuhusu wachuna ngozi nakataa. Maana napajua sana huk0 maana nimekulia KZ kampMstahi kijana wa watu hata kwa kumpeleka kituo cha polisi kilicho karibu yako
ngerengere huko kuelekea Diguzi kuna uchawi sana.. fulu kuchunana ngozi..
Asante mkuu na ubarikiwe pia!!Ubarikiwe sana mkuu.
Mungu atakulipa, endelea kuwa na moyo huohuo wa kusaidia watu.
Mods fungeni uzi
Barikiwa pia mkuuNichukue fursa hii kukushukuru kwa kuutambulisha vyema mtandao wetu pendwa wa jamii forum,mtandao wenye watu makini na wabobezi kwenye mambo mbalimbali kwakwel nimefarijika sana,Mungu akuzidishie hekima na maarifa
Mungu akuongezee
JF na idumu mileleMtoa mada Mungu akubariki na akuimarishe kwa moyo wa huruma na upendo.
Ndivyo wanadamu tunavyopaswa kuguswa na matatizo ya wenzetu kwa kuwasaidia kwa namna moja ama nyingine. Mwenyezi Mungu alitupa utashi kuliko viumbe vyote alivyoviumba kwa maana hiyo.
Hongera JF. Hili ni jeshi kubwa na lenye nguvu.
Mkuu ndugu zake nadhan wamekwishampata ndugu yaoMpelekeni kwa Mwenyekiti wa Kijiji au wa serikali ya mtaa, atajua pa kumpeleke kwa ufuatiliaji zaidi, hata kwa kutumia fingerprint tutajua ni nani kirahisi sana
Hapana mkuuUsungura nakupata sana huko unalima?