Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soon mzigo wenu wa selection nitakuwa nao.... !! so msiwe na wasiwasiiii nipeni( juxt) 3( daYz) nitawapa feedback iliyo na( matuini).... natanguliza shukrani( zanGu.)...
<<< ze duduZ >>>
soon mzigo wenu wa selection nitakuwa nao.... !! so msiwe na wasiwasiiii nipeni juxt 3 daYz nitawapa feedback iliyo na matuini.... natanguliza shukrani zanGu....
<<< ze duduZ >>>
tupeane taarifa kama NJIA ZAKO ZA PANYA ZIME ZIBA.
Una siasa wewe..ulipotelea wapi sasa..!bvijanaaaaa.... !! mbn mbakuwa na haraka hivyo.... siku zote mambo mazuriii hayatakiii harakka... kwa mjibu wa jamaa yangu wa karibu ni kuwa mtu wetu tuliyekuwa tunamtegemea... bado wako kwa bodi na anategemea kuja week hii so jamaa akija tuta copy mzigo wote kutoka kwa hizo cd then tutauhamisha hapa jamvinii....so vijana wangu jaribuni kuwa na subira