Kwa ndugu zangu wa udzm tu

Kwa ndugu zangu wa udzm tu

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
soon mzigo wenu wa selection nitakuwa nao.... !! so msiwe na wasiwasiiii nipeni juxt 3 daYz nitawapa feedback iliyo na matuini.... natanguliza shukrani zanGu....
<<< ze duduZ >>>
 
soon mzigo wenu wa selection nitakuwa nao.... !! so msiwe na wasiwasiiii nipeni( juxt) 3( daYz) nitawapa feedback iliyo na( matuini).... natanguliza shukrani( zanGu.)...
<<< ze duduZ >>>

jaribu kurekebisha uandishi wako ze duduz.
 
ujumbe ushafika so no pressure at all..... !! hope wajanja washanisoma na maanisha nini
 
Hatudanganyiki, wewe senate unaingia? Au utapata wapi hayo ya UDSM? Acha kutudanganya
 
kama huna hoja naomba ukae kimya.... na nina wasiwasi na perfomance yako ya kidato cha sita
 
soon mzigo wenu wa selection nitakuwa nao.... !! so msiwe na wasiwasiiii nipeni juxt 3 daYz nitawapa feedback iliyo na matuini.... natanguliza shukrani zanGu....
<<< ze duduZ >>>

Unatanguliza Shukrani za nini?? au unataka kutuchangisha vi shillingi vyetu ndo utupe hayo majina??
 
Ze dudu nishamkubali tokea mwaka jana namna alivyoyapost mtandaoni hayo majina. Ila mwaka jana ulifanya 12/agust of course sitaisahau maana ilikuwa ya upekee kwangu. Yapost tena ya mwaka brooo!
 
ze duduz fanya na udom coz nimeckia habar zako tangu nipo 4m 5
 
tupeane taarifa kama NJIA ZAKO ZA PANYA ZIME ZIBA.

Ze dudu mswahili tu ana lolote....wap yeye xaiv??? cjui kajificha uvunguni...tungekua kuleee!! Yan angekula dosso la kibeto had aimbe amba-amba
 
vijanaaaaa.... !! mbn mbakuwa na haraka hivyo.... siku zote mambo mazuriii hayatakiii harakka... kwa mjibu wa jamaa yangu wa karibu ni kuwa mtu wetu tuliyekuwa tunamtegemea... bado wako kwa bodi na anategemea kuja week hii so jamaa akija tuta copy mzigo wote kutoka kwa hizo cd then tutauhamisha hapa jamvinii....so vijana wangu jaribuni kuwa na subira
 
Una siasa wewe..ulipotelea wapi sasa..!b
 
Back
Top Bottom