Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.
pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...
katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒
Mungu Ibariki Tanzania