Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
haya ndiyo mawaidha ambayo nafurahi kuyaona ili ninapojipanga niweze kufanya tafiti na kujiridhisha kwamba tatizo ni nini turekebishe na kusahihisha penye kasoro na dosari ili hatimae tuwe na vibrant public institutions zinazoaminika, zinazopendwa na kuheshimika na wananchi wote,Kati ya taasisi inayowaangusha wananchi ni bunge, tunahitaji mabadiliko makubwa ya bunge, na mahakama kama tunataka nchi isonge mbele.
ama nasema urongo ndrugu zango 🐒