Kwa neema na baraka za Mungu nitakua spika wa bunge baada ya Dk. Tulia Akson Rais wa Shirikisho la Mabunge duniani atakapomaliza muda wake miaka ijayo

nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.

pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...

katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Utakuwa spika mbovu zaidi kuliko ubovu wenyewe🤣🤣🤣
 
sasa gentleman,
kwa maandalizi haya muhimu na ya mapema kiasi hiki halafu niwe spika mbovu tena? kua muungwana bana, ramli hizo si sawa hata kidogo,

hata hivyo,
kwa Neema na Baraka za Mungu nitakua spika mahiri zaidi kijana, anaezingatia kanuni za bunge kwa umakini, sheria na katiba ya nchi kuongoza Bunge...

na sasa gentleman, una mawaidha gani
ili nisiwe spika mbovu ?🐒
 
Tunakuunga mkono
P
nafurahi mno kupata mawaidha, ushauri na nasaha za maeneo muhimu ya kujiandaa kuyafanyia kazi ili kuwe na vibrant discussions and engagements miongoni mwa wabunge na serikali ndani ya bunge kusudi kusukuma maendeleo kule kwa wananchi..

hasa ninapojianda kuanzia sasa kwa wadhifa huo muhimu na mzito kitaifa kwa siku za usoni badaa ya Dr Tulia Akson kumaliza vipindi vyake, tukijaaliwa 🐒
 
we bado Sana labda kwasababu Ccm wanachukuaga low thinkers

Unapost habari unaweka vipanya

Unasifia Sofia ujinga

Mada zako 90% zimejaa utoto.

Unabidi kubadilisha mindset na kuwa positive.

Then make sure unakuwa na wisdom ,kujitambua na kujua unahitaji nini?
Huwa anajiita Mbunge wa Mchongo!! 🤣🤣🤣
CC; Lamomy
 
Ngoja tuusome huu uzi kama stori tu...
 
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.

pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...

katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Umenikumbusha usemi huu: Yajayo yana furahisha, hata huu hapa: Palipo na nia pana njia
 
Huwa anajiita Mbunge wa Mchongo!! 🤣🤣🤣
CC; Lamomy
Gentleman,
mie ndio naondoka hivyo seriously, you will miss me much kwakweli,

nami nawaahidi kwanza sintawaangusha, lakini pia sintiwaacha hivi hivi mikono mitupu as JF family, niniapo jiaanda kuchukua wadhifa huo nyeti, muhimu na mzito sana miongoni mwa mihimili muhimu ya dollar la Tanzania, baada ya Dr.Tulia Akson kumaliza vipindi vyake vya uspika..

muhimu zaidi ni kuombeana yaliyo mema na kushauriana na kupeana mawaidha yale ambayo yatasaidia kutulete sisi zote pamoja na kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi mapana na waTanzania wote 🐒
 
Umenikumbusha usemi huu: Yajayo yana furahisha
kwa Neema na Baraka za Mungu inapendeza zaidi ndugu kukaa pamoja kwa upendo na furaha wanapojadiliana kuhusu maslahi mapana ya waTanzania wote chini ya spika wa haki, usawa na uhuru Tlaatlaah kwan kuna ubaya wowote gentleman? 🐒
 
Huna lolote! tantalila kibao...
 
kwa Neema na Baraka za Mungu inapendeza zaidi ndugu kukaa pamoja kwa upendo na furaha wanapojadiliana kuhusu maslahi mapana ya waTanzania wote chini ya spika wa haki, usawa na uhuru Tlaatlaah kwan kuna ubaya wowote gentleman? 🐒
Ukiwa na nyumba nzuri hata panya anaogopa kuingia yaani ukitenda haki hakuna kelele
 
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.

pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...

katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa hiyo mlishaona bungeni ni eneo la kujaza matikiti maji?
 
Tunakuunga mkono asilimia 100% kwa 100% kwasababu naamini Spika lazima awe mwanasheria mbobezi Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
Pili nimeipenda sana hoja yako kumpokea Dr. Tulia kwasababu Dr. Tulia anakuja kule juu kwenye number moja. Tena hata 2025, mimi ni miongoni mwa wanaounga mkono 2025 twende na mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! japo wengi wanadhani na wanaamini mgombea huyo mwanamke wa urais wa CCM 2025 ni lazima awe Rais Samia, mimi nawaambia sio lazima!, mwanamke huyo anaweza kuwa ni Dr. Tulia kwa kuzingatia hoja HII
P
🙏👊💪🌹
aise dah!
sina la kuongeza aise,
shukran sana kwa kuniunga mkono dhamira yangu ya uspika, na zaidi sana shukran kwa ufafanuzi mujarabu wa kina na usio na upendeleo dhidi ya nafasi ya Dr.Tulia Akson pale juu serikali kuu kwa siku zijazo,

nimefurahi sana, na ninaomba Baraka na Neema za Mungu haya yote yakatimie sawa sawa na Mapenzi yake..

Shukran sana Mwalimu Pascal Mayalla
 
Kwa hiyo mlishaona bungeni ni eneo la kujaza matikiti maji?
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?🐒
 
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.

pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...

katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa we mwanangu nakutakia kila heri uukwae huo uspikaaaa
Tena naona tulia anachelewa kutoka huko ili uingie weee
Najuwa weee ukipata uspikaa namimi neema nakula 😄

Ova
 
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?🐒
Licha ya tofauti zetu zile
Ila kwa hapo nakuunga mkono
😄

Ova
 
sasa gentleman,
kwa maandalizi haya muhimu na ya mapema kiasi hiki halafu niwe spika mbovu tena? kua muungwana bana, ramli hizo si sawa hata kidogo,

hata hivyo,
kwa Neema na Baraka za Mungu nitakua spika mahiri zaidi kijana, anaezingatia kanuni za bunge kwa umakini, sheria na katiba ya nchi kuongoza Bunge...

na sasa gentleman, una mawaidha gani
ili nisiwe spika mbovu ?🐒
Hekima
Busara
Utu
Hivi mtu hupewa na Mungu.
Hivi wewe umenyimwa.
Muulize Kapeace na ERoni
😂
 
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?🐒
Kati ya taasisi inayowaangusha wananchi ni bunge, tunahitaji mabadiliko makubwa ya bunge, na mahakama kama tunataka nchi isonge mbele.
 
nina uhakika na hilo kwa baraka na Neema za Mungu. sitanii, sina mazoea na sina mzaha hata kidogo kwenye malengo na matarajio yangu muhimu ya msingi katika kutekeleza kusudi la Mungu ndani ya maisha yangu humu duniani kwa manufaa ya wananchi wote Tanzania.

pamoja na kwamba nimebobea zaidi na kuonekana kwenye masuala ya diplomasia, siasa za kitaifa na kimataifa, bado pia ni mwanasheria mwandamizi ambae naweza kua kiunganishi muhimu sana pale mjengoni, kuwaleta pamoja wabunge wapya na wazamani, wa chama tawala na upinzani na kuwaongoza vyema katika mijadala mbalimbali muhimu ya kisheria kwa usawa, uhuru na haki, kwa mustakabali mwema wa umoja, amani, utulivu na maendeleo ya wanainchi wetu wote huko majimboni nchi nzima, na wakati huo Dr Tulia Akson akishika wadhaifa wa juu zaidi wa kitaifa, serikali kuu nchini...

katika kufikia ndoto hiyo muhimu sana, dhamira, nia azma hiyo ya kizalendo na ya maana sana kwa Taifa,
unadhani ni muhimu zaidi nijiandae, nijipange na kuyafanyia kazi maeneo gani muhimu zaidi ili hatimae kuchochea matokeo chanya ya maamuzi sahihi ya bunge ili yalete athari chanya za moja kwa moja, kwenye maisha halisi ya wananchi, kupitia serikali sikivu ya CCM? 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Huko mjengoni umuweke na Lucas
 
Back
Top Bottom