Kwa neema na baraka za Mungu nitakua spika wa bunge baada ya Dk. Tulia Akson Rais wa Shirikisho la Mabunge duniani atakapomaliza muda wake miaka ijayo

Utakuwa spika mbovu zaidi kuliko ubovu wenyewe🀣🀣🀣
 
Utakuwa spika mbovu zaidi kuliko ubovu wenyewe🀣🀣🀣
sasa gentleman,
kwa maandalizi haya muhimu na ya mapema kiasi hiki halafu niwe spika mbovu tena? kua muungwana bana, ramli hizo si sawa hata kidogo,

hata hivyo,
kwa Neema na Baraka za Mungu nitakua spika mahiri zaidi kijana, anaezingatia kanuni za bunge kwa umakini, sheria na katiba ya nchi kuongoza Bunge...

na sasa gentleman, una mawaidha gani
ili nisiwe spika mbovu ?πŸ’
 
Tunakuunga mkono
P
nafurahi mno kupata mawaidha, ushauri na nasaha za maeneo muhimu ya kujiandaa kuyafanyia kazi ili kuwe na vibrant discussions and engagements miongoni mwa wabunge na serikali ndani ya bunge kusudi kusukuma maendeleo kule kwa wananchi..

hasa ninapojianda kuanzia sasa kwa wadhifa huo muhimu na mzito kitaifa kwa siku za usoni badaa ya Dr Tulia Akson kumaliza vipindi vyake, tukijaaliwa πŸ’
 
Huwa anajiita Mbunge wa Mchongo!! 🀣🀣🀣
CC; Lamomy
 
Ngoja tuusome huu uzi kama stori tu...
 
Umenikumbusha usemi huu: Yajayo yana furahisha, hata huu hapa: Palipo na nia pana njia
 
Huwa anajiita Mbunge wa Mchongo!! 🀣🀣🀣
CC; Lamomy
Gentleman,
mie ndio naondoka hivyo seriously, you will miss me much kwakweli,

nami nawaahidi kwanza sintawaangusha, lakini pia sintiwaacha hivi hivi mikono mitupu as JF family, niniapo jiaanda kuchukua wadhifa huo nyeti, muhimu na mzito sana miongoni mwa mihimili muhimu ya dollar la Tanzania, baada ya Dr.Tulia Akson kumaliza vipindi vyake vya uspika..

muhimu zaidi ni kuombeana yaliyo mema na kushauriana na kupeana mawaidha yale ambayo yatasaidia kutulete sisi zote pamoja na kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi mapana na waTanzania wote πŸ’
 
Umenikumbusha usemi huu: Yajayo yana furahisha
kwa Neema na Baraka za Mungu inapendeza zaidi ndugu kukaa pamoja kwa upendo na furaha wanapojadiliana kuhusu maslahi mapana ya waTanzania wote chini ya spika wa haki, usawa na uhuru Tlaatlaah kwan kuna ubaya wowote gentleman? πŸ’
 
Huna lolote! tantalila kibao...
 
kwa Neema na Baraka za Mungu inapendeza zaidi ndugu kukaa pamoja kwa upendo na furaha wanapojadiliana kuhusu maslahi mapana ya waTanzania wote chini ya spika wa haki, usawa na uhuru Tlaatlaah kwan kuna ubaya wowote gentleman? πŸ’
Ukiwa na nyumba nzuri hata panya anaogopa kuingia yaani ukitenda haki hakuna kelele
 
Kwa hiyo mlishaona bungeni ni eneo la kujaza matikiti maji?
 
πŸ™πŸ‘ŠπŸ’ͺ🌹
aise dah!
sina la kuongeza aise,
shukran sana kwa kuniunga mkono dhamira yangu ya uspika, na zaidi sana shukran kwa ufafanuzi mujarabu wa kina na usio na upendeleo dhidi ya nafasi ya Dr.Tulia Akson pale juu serikali kuu kwa siku zijazo,

nimefurahi sana, na ninaomba Baraka na Neema za Mungu haya yote yakatimie sawa sawa na Mapenzi yake..

Shukran sana Mwalimu Pascal Mayalla
 
Kwa hiyo mlishaona bungeni ni eneo la kujaza matikiti maji?
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?πŸ’
 
Kwa we mwanangu nakutakia kila heri uukwae huo uspikaaaa
Tena naona tulia anachelewa kutoka huko ili uingie weee
Najuwa weee ukipata uspikaa namimi neema nakula πŸ˜„

Ova
 
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?πŸ’
Licha ya tofauti zetu zile
Ila kwa hapo nakuunga mkono
πŸ˜„

Ova
 
Hekima
Busara
Utu
Hivi mtu hupewa na Mungu.
Hivi wewe umenyimwa.
Muulize Kapeace na ERoni
πŸ˜‚
 
mbona makasiriko ya mwendokasi gentleman?

kulikoni hasa kwenye majadiliano ya mambo muhimu na serious kama haya ya kitaifa?πŸ’
Kati ya taasisi inayowaangusha wananchi ni bunge, tunahitaji mabadiliko makubwa ya bunge, na mahakama kama tunataka nchi isonge mbele.
 
Huko mjengoni umuweke na Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…