Kwa neema na baraka za Mungu nitakua spika wa bunge baada ya Dk. Tulia Akson Rais wa Shirikisho la Mabunge duniani atakapomaliza muda wake miaka ijayo

Kati ya taasisi inayowaangusha wananchi ni bunge, tunahitaji mabadiliko makubwa ya bunge, na mahakama kama tunataka nchi isonge mbele.
haya ndiyo mawaidha ambayo nafurahi kuyaona ili ninapojipanga niweze kufanya tafiti na kujiridhisha kwamba tatizo ni nini turekebishe na kusahihisha penye kasoro na dosari ili hatimae tuwe na vibrant public institutions zinazoaminika, zinazopendwa na kuheshimika na wananchi wote,

ama nasema urongo ndrugu zango πŸ’
 
Huko mjengoni umuweke na Lucas
huyo nadhani mnafurahia ile kazi kubwa na nzuri sana anayoifanya bila kuchoka ya kuunganisha mambo makubwa sana yanayofanywa na waandamizi serikalini, kwenye chama kwaajili ya wanainchi ...

Lengo ilikua agombee ubunge pale mbeya mjini, hata hivyo tumemuomba ajizuie, asubiri kidogo ili Mh.Tulia Akson amalizie ile kazi kubwa sana ameanza kuifanya kwaajili ya wanainchi na watu wa maana sana wa Jimbo la mbeya mjini,

hata hivyo,
Dr.Tulia Akson atakapokua anachukua ule wadhifa mkubwa zaidi wa kitaifa kule serikali kuu, na ndipo sasa fursa na wakati muafaka kwa Neema na Baraka za Mungu wa ndugu yetu huyu Lucas Mwashambwa ambae sote tunampenda, tunamkubali, tunamuamini na anaheshimika sana humu jukwaani kuchukua hatamu za uongozi wa kisiasa katika jimbo la mbeya mjini kiulaini ..

My friend haya mambo ni kujipanga tu πŸ’
 

Ukitataka kuwa Spika wa bunge la Tanzania fanya mambo mawili yafuatayo

1. Acha kuwa biased kwa CCM.
2. Weka maslahi ya wananchi mbele.
3. Ondoa hako kanyani kwenye maandishi yako kana kufanya uonekane mtu wa ajabu.
 
Umempa majibu mazuri mpaka atakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha huko aliko shemeji yangu Evelyn Salt
 
Ukitataka kuwa Spika wa bunge la Tanzania fanya mambo mawili yafuatayo

1. Acha kuwa biased kwa CCM.
2. Weka maslahi ya wananchi mbele.
3. Ondoa hako kanyani kwenye maandishi yako kana kufanya uonekane mtu wa ajabu.
haya ndiyo mawaidha ambayo nataka licha yakua umenifurahisha sana ushauri namb3..

thank you very much for your very very vibrant constructive and some how deconstructive advices nakubali kamanda πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Sidhani kama utaweza maana mi na mpango wa kuwa Rais alafu kuna rafiki yangu nataka kumpa hiyo nafasi ya kuwa spika
 
Sidhani kama utaweza maana mi na mpango wa kuwa Rais alafu kuna rafiki yangu nataka kumpa hiyo nafasi ya kuwa spika
huo ni mpango mzuri sana japo mnaufanya kwa kificho kwasababu huenda kuna nia na agenda ovu mko nayo. hata hivyo hiyo ndiyo demokrasia tukutane uwajani wanainchi wataamua...

na mjipange vizuri kabisa πŸ’
 
Nikiingia Bungeni nakuhakikishia kuwa utafurahi Mwenyewe na wifi yako ephen.maana mtakuwa mnaingia viwanja vya Bunge na wifi yako ephen mkiwa na pochi zenu mikononi huku mking'aa
Yes,
that's very true ephen_ atakua anatembelea gari binafsi ya mbunge wakati Lucas Mwashambwa mbunge mwenyewe wa pale Jimbo la mbeya mjini akiwa na ile gari ya maana yenye kibendera pale mbele akisaidia serikali kuu bungeni wizara Fulani nyeti, dah!

aise nyie vijana,
haya maisha ni kujipanga tu na kuthubutu na kwa Neema na Baraka za Mungu yote yanawezekana bila tashwishi yoyote πŸ’
 
Nimebubujikwa na machozi ya furaha.....
 
Kwa sifa hizi ulizompa atakua Tu Supika
 
Unaona bunge ni kitu cha maana sana, unatuhadithia ukidhani tutakuona wa maana?
 
Unaona bunge ni kitu cha maana sana, unatuhadithia ukidhani tutakuona wa maana?
sure,
ni muhimu sana lakini pia ni jambo zito la maana na la kizalendo sana kulitumikia taifa kwa weledi, bidii na uadilifu wa kiwango cha juu sana,

ni fahari kwakweli gentleman.

nadhan unao wajibu wa maana na wa haki ya kukosoa pia gentleman, nalo ni Jambo muhimu pia nadhaniπŸ’
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbunge wangu huyo sema mwakani harudi
labda huu wa EAC ila sio wa Jimbo...

take this from me, without fear of contradictions πŸ’

hii ni kitu ingine bana alaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…