Kwa nilichokiona kwa huyu boss wangu, sitahangaika kumridhisha mwanamke

Ok.πŸ’
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Ni rahisi sana, tena inawezekana zoezi la kupata mwanamke asiyechepuka likawa rahisi kuliko mtihani wa kupata mwanaume asiyechepuka, hata kama ameoa miss world.

Zingatia:
Mtihani, miss world, mwanaume.
 
Ila baadhi yenu wanaume sijui mnajikuta nani.
Huyo rafiki yako ana mke wa ndoa takatifu lakini bado ana mchepuko nje tena anamfanya hadi kinyume na maumbile, halafu unaona hana hatia , mwenye hatia ni huyo mwanamke.

Washamba nyie tena Wazinzi.
Aziniye na mwanamke hana AKILI KABISA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…