Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!