Tersana ile ni ya daraja la TATU, walicheza playoff wapande daraja la pili wakaangukia pua. Walishika nafasi ya 6 kwenye timu 6 kwa kupata alama 4, wakati ilitakiwa timu moja tu. Mshindi alipata alama 13.Walicheza na kitimu Cha daraja la 4 uko misri wakachezea kichapo Cha 6-2, walificha matokeo lakini tuliyanyaka si unajua viongozi wao walivyo wazee wa propaganda awakutaka yajulikane watakosa mashabiki kwenye Simba day