Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Simba wapigwe tu hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wapigwe tu hakuna namna
Hivi 5imba hadi sasa kacheza mechi yoyote kwenye pre-season?Ni mbovu. Uliza moto wa Orlando Pirates kwenye pre season usikie
Walicheza na kitimu Cha daraja la 4 uko misri wakachezea kichapo Cha 6-2, walificha matokeo lakini tuliyanyaka si unajua viongozi wao walivyo wazee wa propaganda awakutaka yajulikane watakosa mashabiki kwenye Simba dayHivi 5imba hadi sasa kacheza mechi yoyote kwenye pre-season?
Hili wanalikana kila kona..!!Walicheza na kitimu Cha daraja la 4 uko misri wakachezea kichapo Cha 6-2, walificha matokeo lakini tuliyanyaka si unajua viongozi wao walivyo wazee wa propaganda awakutaka yajulikane watakosa mashabiki kwenye Simba day
Inatisha sana.Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Kiwango cha Dickson Job kinaporomokaNi kweli mna kikosi kizuri ila Yanga ina udhaifu mwingi mno esp kwenye beki, ni Diara ndo anauficha huu udhaifu, maombi yaelekezwe kuwa kufikia tarehe 8, Simba wachezaji wawe bado hawajatengeneza timu ila kama wamesomana na kuwa timu, sijui hata kama yale madude yenu ya blitch mnayorushaga yatafanya kazi.
Lakini pia mabeki walikuwa wanafikiwa Sana kipindi cha Kwanza kwasababu, Viungo walikuwa wamekufa.Ni kweli mna kikosi kizuri ila Yanga ina udhaifu mwingi mno esp kwenye beki, ni Diara ndo anauficha huu udhaifu, maombi yaelekezwe kuwa kufikia tarehe 8, Simba wachezaji wawe bado hawajatengeneza timu ila kama wamesomana na kuwa timu, sijui hata kama yale madude yenu ya blitch mnayorushaga yatafanya kazi.
Yanga ilipaniwa mara tu baada ya mechi ya kwanza ya Mamelodi, kwakuwa waliamini Mamelodi anatakiwa kuchukua CAFCL na siyo kusumbuliwa na Yanga.yanga wamepaniwa sana south africa, na wakikutanana sundowns, siku hiyo africa nzima itafunga shughuli zote, na watatandikwa kama nini.
Umeeleweka vizuri tu jiraniMechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
KweliKiwango cha Dickson Job kinaporomoka
Ukiangalia kuanzia mechi round ya pili ya Simba, Azam Federation finalina Jana Augsburg utaona kabisa Job kiwango kimeshuka, au ana fatigue.
Atafutiwe mbadala sahihi mapema.
Makosa yake huwa anarwkebisha Bacca.
Bacca anafanya kazi ya kufuta makosa ya Job na Mwamnyeto
Mimi kilichonishtua kusema YANGA inamechi tarehe 24,28 ,8 na 11. Amepata wapi konfidensi ya kuitaja tarehe 11?.Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Endeleeni kukalili hamtoamin kitakacho wapataMechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Yanga itanifanya nianze kuamini maneno y bosquet kwamba mpira mtamu kuliko sex...sio kwa pira lile,atapigwa mtu wiki siku iyo watu wadai upyaaa B20 zaoMechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha kwamba yanga kwa sasa inaweza kucheza na timu yoyote Ile hapa Africa na popote pale!
Wanaoujua mpira tulikuwa atuangalii sana matokeo Bali tulikuwa tinaangalia mambo ya kiufundi zaidi kuanzia team work, physic ya wachezaji, na vitu Kama ivyo, yanga bado wanacho kikosi Cha mauaji.
Dube na baleke ni watu aswaa, kilichobaki kwao ni match fitness kwa dube na baleke ni maelewano tu na wenzake baada ya hapo itakuwa ni balaa mjini!
Matokeo atuyazingatii kutokana na daraja walilopo Augsburg na ligi wanayocheza, aina ya wachezaji walionao na bajeti yao ni mbingu na ardhi ukilinganisha na yanga lakini ni Kipimo mathubuti kwa yanga!
Nachelea kusema wananchi wanayo timu si mchezo Wala siwatishi ndio ukweli!
Kuna mechi ya ngao TRH 8 ninachowaambia ndugu zangu wa Simba kitakachowaokoa na hiki kikombe Cha kipigo Toka kwa yanga ni SANGOMA tu otherwise nayaona maafa mengine YANANUKIA!
Uwezi kwenda kucheza na yanga yenye quality prayer Kila idara na inayocheza kitimu ukaenda kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja mmoja! Utaumbuka mapema sana!
Nawapa taadhali mashabiki wa Simba pamoja na kwamba derby uwa aitabiriki lakini timu Bora itaonekana!
Utopolo kwa mechi za Tanzania ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Ihefu au mashujaaKuna MAKOLO yatabisha
Yanga kwa hapa bongo ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Pamba au GwambinaYanga itanifanya nianze kuamini maneno y bosquet kwamba mpira mtamu kuliko sex...sio kwa pira lile,atapigwa mtu wiki siku iyo watu wadai upyaaa B20 zao
HajachezaHivi 5imba hadi sasa kacheza mechi yoyote kwenye pre-season?
Timu kubwa ambayo mnaweza kuifunga na kusherehekea miaka yote ni Simba.Hivi 5imba hadi sasa kacheza mechi yoyote kwenye pre-season?
Kwa kile kichapo cha 2-1. Haujakumbuka ule ushindi wa Simba 5-1?😁😁😁😁😁😁Simba wapigwe tu hakuna namna
Tupe rekodi ya mechi za yanga kimataifa ndio tukueleweUtopolo kwa mechi za Tanzania ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Ihefu au mashujaa
Shida yenu huwa mnapenda sana kujifananisha na Simba. Mpira ni magoli, wewe cheza uchezavyo ila ukishindwa kufunga magoli. Umecheza utopolo😁😁😁😁😁😁😁😁
Mechi za kimataifa kwasasa bado una mashaka na Yanga?Utopolo kwa mechi za Tanzania ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Ihefu au mashujaa
Shida yenu huwa mnapenda sana kujifananisha na Simba. Mpira ni magoli, wewe cheza uchezavyo ila ukishindwa kufunga magoli. Umecheza utopolo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]