Kwa nilichokiona leo kuna maafa mengine yananukia tarehe 8, kitakachowaokoa ni sangoma. Yanga wanaanzia walipoishia

Inatisha sana.
 
Kiwango cha Dickson Job kinaporomoka

Ukiangalia kuanzia mechi round ya pili ya Simba, Azam Federation finalina Jana Augsburg utaona kabisa Job kiwango kimeshuka, au ana fatigue.

Atafutiwe mbadala sahihi mapema.

Makosa yake huwa anarwkebisha Bacca.

Bacca anafanya kazi ya kufuta makosa ya Job na Mwamnyeto
 
Reactions: Tsh
Lakini pia mabeki walikuwa wanafikiwa Sana kipindi cha Kwanza kwasababu, Viungo walikuwa wamekufa.

Sureboy uwezo wa kawaida, hasa physicality na kukaba na dribbling hawezi, akawa Mudathir pekee.

Kipindi cha Pili, ndio katikati pakatulia baada ya Subs
 
Reactions: Tsh
yanga wamepaniwa sana south africa, na wakikutanana sundowns, siku hiyo africa nzima itafunga shughuli zote, na watatandikwa kama nini.
Yanga ilipaniwa mara tu baada ya mechi ya kwanza ya Mamelodi, kwakuwa waliamini Mamelodi anatakiwa kuchukua CAFCL na siyo kusumbuliwa na Yanga.

Ila unaweza kupania wakati Yanga pia siyo wanyonge kabisa
 
Umeeleweka vizuri tu jirani
 
Kweli
 
Mimi kilichonishtua kusema YANGA inamechi tarehe 24,28 ,8 na 11. Amepata wapi konfidensi ya kuitaja tarehe 11?.
INATISHA.
 
Endeleeni kukalili hamtoamin kitakacho wapata
 
Yanga itanifanya nianze kuamini maneno y bosquet kwamba mpira mtamu kuliko sex...sio kwa pira lile,atapigwa mtu wiki siku iyo watu wadai upyaaa B20 zao
 
Kuna MAKOLO yatabisha
Utopolo kwa mechi za Tanzania ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Ihefu au mashujaa
Shida yenu huwa mnapenda sana kujifananisha na Simba. Mpira ni magoli, wewe cheza uchezavyo ila ukishindwa kufunga magoli. Umecheza utopolo😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Yanga itanifanya nianze kuamini maneno y bosquet kwamba mpira mtamu kuliko sex...sio kwa pira lile,atapigwa mtu wiki siku iyo watu wadai upyaaa B20 zao
Yanga kwa hapa bongo ni kama Real Madrid ila kwa mechi za nje ni sawa na Pamba au Gwambina
 
Hivi 5imba hadi sasa kacheza mechi yoyote kwenye pre-season?
Timu kubwa ambayo mnaweza kuifunga na kusherehekea miaka yote ni Simba.
Yanga ni kama Real Madrid hapa bongo ila kwa mechi za nje ni kama Gwambina au Ihefu ndiyo maana zile 5-1 za Simba mnazikumbuka mpaka leo😁😁😁😁
Na hivi mnakula kichapo 2-1 basi zile 5-1 za Simba ndiyo faraja yenu. Na mtazikumbuka sana zile 5-1😁😁😁😁. Na bado
Kwa kichapo kinachoendelea, mnabidi mzindua jezi za 5imba au 5-1 ili iwe kama faraja yenu
 
Simba wapigwe tu hakuna namna
Kwa kile kichapo cha 2-1. Haujakumbuka ule ushindi wa Simba 5-1?😁😁😁😁😁😁
Yanga kwa mechi za nje ni kama Ihefu tu. Utasikia, angekuwa Simba angepigwa 10. Mechi acheze Yanga, utengeneze picha anacheza na Simba.😁😁😁😁😁
 
Tupe rekodi ya mechi za yanga kimataifa ndio tukuelewe
 
Mechi za kimataifa kwasasa bado una mashaka na Yanga?
Fainali ya kombe la CAFCC na msimu uliofuata ni robo fainali ya CAFCL na kwenye msimu huo imecheza na top ranked teams ( Al Ahly, Belouizdad na Mamelodi) kuna timu inajitangazaga ni wa tano kwa ubora Africa nayo ilizabwa nje ndani magoli 5 +2. Majibu ya kujifananisha au kutokujifananisha yatapatikana mbeleni maana msimu mpya umeanza na kuna timu ipo shirikisho na nyingine klabu bingwa. Point 15 kwenye CAFCC zinapatikana kwa kufika nusu fainali wakati kwenye CAFCL ni robo fainali tu unavuna point 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…