Timu kubwa ambayo mnaweza kuifunga na kusherehekea miaka yote ni Simba.
Yanga ni kama Real Madrid hapa bongo ila kwa mechi za nje ni kama Gwambina au Ihefu ndiyo maana zile 5-1 za Simba mnazikumbuka mpaka leoππππ
Na hivi mnakula kichapo 2-1 basi zile 5-1 za Simba ndiyo faraja yenu. Na mtazikumbuka sana zile 5-1ππππ. Na bado
Kwa kichapo kinachoendelea, mnabidi mzindua jezi za 5imba au 5-1 ili iwe kama faraja yenu