Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unaongezaje elfu 20 KWa watumishi ambao wamekaa miaka sita BILA nyongeza ,huo ni utani, tunasema nchi maskini wakati wao wanajilipa a lot of money,?Yapo ambayo Mama anaongozwa kweli kabisa, ila sio hili la nyongeza ya mshahara.
Nyongeza ya mshahara haijawahi kuwa zaidi ya elfu 50+, hata enzi ya JK.
Shida ni kwamba mtangulizi wa huyu Rais wa sasa hakuwa akiongeza kila mwaka. Sasa watu walifikiri wakisema nyongeza itakuwa laki 1, 2, 3. Si kweli.
Kwa Uchumi wetu ulivyo ktk nchi, kiwango anachoweza kuongeza, net kabisa kwenye akaunti za benki ikasoma ni hizo hela kuanzia shilingi elfu 7 (7,000/- Tsh) hadi kufikia elfu 30 huko.
Kuhusu nyongeza ya 23% aliyotamka wkt wa Mei mosi, ile ni kweli na kasomeni tena ile barua, inasema, nanukuu kwa ufupi....., "Rais ameridhia nyongeza ya mshahara serikalini/kwa watumishi wa Umma, ikiwemo ongezeko la 23% kwa kima cha chini cha mshahara....."
Sasa waTz either ni wavivu wa kusoma katikati ya mstari "read between the lines" ,au hesabu inawachenga sana.
Haya maneno yana maana,
.... ikiwemo ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa 23% ....
Sasa kima cha chini hadi JK anatoka ni sh 300,000/-. JPM hakuwahi kuongeza.
Sasa mh Samia kawaongeza sh 69,900/- hao wa laki 3 kushuka chini.
Barua haikutaja kuwa waliokuwa wanapokea mshahara wa zaidi ya laki 3, wameongezwa sh ngapi!!
Kwa hiyo acheni kupamba pamba, eti mama anapotoshwa sijui ooh wanataka achukiwe.
Katika hili la nyongeza ya mshahara huo ni uongo au maneno ya kuunga unga.
Huo ndio ufafanuzi sahihi.
Huwezi fanikiwa maisha kwa kutegemea nyongeza ya mshahara,buni miradi mbalimbali midogomidogo ya kukuongezea kipato,pathetic!Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na kila mtu.
1. Mwaka jana alihaidi mwaka huu kutangaza nyongeza ya mshahara mei 1. Kilichofanyika akataka kuzungusha maneno. Mwinyi Zanzibar akasema, Uhuru akasema, Morocco wakasema. Ni kama wakamuongoza na wetu aseme. Ili baadae ije kuwa uongo wamseme na wamchukie sana.
2. Wakati tukifikiria katika haki. Suluhu za kisiasa. Wale waliodidimiza democracy wanapewa vyeo vya juu. Lengo ni kuwafanya wapinzani wakate tamaa na mijadala ife.
Kwa picha ninayoiona walio nyuma yake wanataka achukiwe na kila mtu! Humpa ushauri ili asionekane kuwa bora au nafuu kuliko Mwendazake na kwa kutimiza azma yao wametumia muda wa kutosha kumfanya achinje watumishi maslahi yao ili wajenge chuki na kutomuamini!! Na njia nzuri kutotimiza ahadi na kuja ujanja ujanja.
Natamani raisi awe na mtazamo chanya wa kujenga uadilifu kwa kukataa kuongozwa bali kupokea ushauri kipindi akihitaji kufanya hivyo.
Si mlisema sukuma gang imekomeshwa?Jeshi la Polisi ndiyo kichaka cha Sukuma Gang ambao wameapa kuhakikisha hadi kufika 2025 Hangaya hatamaniki,na kwa uteuzi wa DCI huyu lengo hilo litafikiwa kwa asilimia tisini na tano
Mkuu usiwe msahaulifu kihivyo Mhe Kikwete alikuwa akitamka inaenda kuongezeka kwa wote hasa walimu na afya rate Ile IleYapo ambayo Mama anaongozwa kweli kabisa, ila sio hili la nyongeza ya mshahara.
Nyongeza ya mshahara haijawahi kuwa zaidi ya elfu 50+, hata enzi ya JK.
Shida ni kwamba mtangulizi wa huyu Rais wa sasa hakuwa akiongeza kila mwaka. Sasa watu walifikiri wakisema nyongeza itakuwa laki 1, 2, 3. Si kweli.
Kwa Uchumi wetu ulivyo ktk nchi, kiwango anachoweza kuongeza, net kabisa kwenye akaunti za benki ikasoma ni hizo hela kuanzia shilingi elfu 7 (7,000/- Tsh) hadi kufikia elfu 30 huko.
Kuhusu nyongeza ya 23% aliyotamka wkt wa Mei mosi, ile ni kweli na kasomeni tena ile barua, inasema, nanukuu kwa ufupi....., "Rais ameridhia nyongeza ya mshahara serikalini/kwa watumishi wa Umma, ikiwemo ongezeko la 23% kwa kima cha chini cha mshahara....."
Sasa waTz either ni wavivu wa kusoma katikati ya mstari "read between the lines" ,au hesabu inawachenga sana.
Haya maneno yana maana,
.... ikiwemo ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa 23% ....
Sasa kima cha chini hadi JK anatoka ni sh 300,000/-. JPM hakuwahi kuongeza.
Sasa mh Samia kawaongeza sh 69,900/- hao wa laki 3 kushuka chini.
Barua haikutaja kuwa waliokuwa wanapokea mshahara wa zaidi ya laki 3, wameongezwa sh ngapi!!
Kwa hiyo acheni kupamba pamba, eti mama anapotoshwa sijui ooh wanataka achukiwe.
Katika hili la nyongeza ya mshahara huo ni uongo au maneno ya kuunga unga.
Huo ndio ufafanuzi sawa
Ni kweli Kikwete alikuwa anatamka kwa wote. Juzi Kenya waliongeza kwa wote asilimia ile ile, Ghana hivo hivo .Mkuu usiwe msahaulifu kihivyo Mhe Kikwete alikuwa akitamka inaenda kuongezeka kwa wote hasa walimu na afya rate Ile Ile
Nchi hii ngumu. Nisiseme sanaSasa unaongezaje elfu 20 KWa watumishi ambao wamekaa miaka sita BILA nyongeza ,huo ni utani, tunasema nchi maskini wakati wao wanajilipa a lot of money,?
Yani wafanyakazi wa chini linapokuja swala la stahiki zao ndo tunaona nchi maskini, wakati wabunge n.k wanaongezewa mapesa, mav8 yanaunguluma mda wote, Sasa tafaaili ya nchi bado maskini ni ipi
Watumishi wakikutana na nyongeza ya ajabu, na wakaa kimya watakua hawajitambui,
Kama nchi ni maskini anzeni punguza maposho,mishahara yenu, uza mav8 Ili twende sawa
Ulichoandika hakishabihiani na title,kiufupi unaropoka mambo usiyoyaelewa..Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na kila mtu.
1. Mwaka jana alihaidi mwaka huu kutangaza nyongeza ya mshahara mei 1. Kilichofanyika akataka kuzungusha maneno. Mwinyi Zanzibar akasema, Uhuru akasema, Morocco wakasema. Ni kama wakamuongoza na wetu aseme. Ili baadae ije kuwa uongo wamseme na wamchukie sana.
2. Wakati tukifikiria katika haki. Suluhu za kisiasa. Wale waliodidimiza democracy wanapewa vyeo vya juu. Lengo ni kuwafanya wapinzani wakate tamaa na mijadala ife.
Kwa picha ninayoiona walio nyuma yake wanataka achukiwe na kila mtu! Humpa ushauri ili asionekane kuwa bora au nafuu kuliko Mwendazake na kwa kutimiza azma yao wametumia muda wa kutosha kumfanya achinje watumishi maslahi yao ili wajenge chuki na kutomuamini!! Na njia nzuri kutotimiza ahadi na kuja ujanja ujanja.
Natamani raisi awe na mtazamo chanya wa kujenga uadilifu kwa kukataa kuongozwa bali kupokea ushauri kipindi akihitaji kufanya hivyo.
We ACHA tu mkuuNchi hii ngumu. Nisiseme sana
Hiyo ndio hali halisi.Huo ndo ukweli wenyewe na iko hv kwa wale Maafisa utumishi ambao wana access na mfumo wa mshahara mkeka walishauona ongezeko ni Tshs 20000 flat rate
Hiyo nyingi mno kwa huduma mbovu watumishi wanazotoa kwa wateja wao.Huo ndo ukweli wenyewe na iko hv kwa wale Maafisa utumishi ambao wana access na mfumo wa mshahara mkeka walishauona ongezeko ni Tshs 20000 flat rate
Yani nimecheka kijinga Sana,maanaHiyo ndio hali halisi.
Wanataka kumlaumu Raisi tu, ikiwa alishasema wazi kuwa ongezeko ni kwa kima Cha chini.Yapo ambayo Mama anaongozwa kweli kabisa, ila sio hili la nyongeza ya mshahara.
Nyongeza ya mshahara haijawahi kuwa zaidi ya elfu 50+, hata enzi ya JK.
Shida ni kwamba mtangulizi wa huyu Rais wa sasa hakuwa akiongeza kila mwaka. Sasa watu walifikiri wakisema nyongeza itakuwa laki 1, 2, 3. Si kweli.
Kwa Uchumi wetu ulivyo ktk nchi, kiwango anachoweza kuongeza, net kabisa kwenye akaunti za benki ikasoma ni hizo hela kuanzia shilingi elfu 7 (7,000/- Tsh) hadi kufikia elfu 30 huko.
Kuhusu nyongeza ya 23% aliyotamka wkt wa Mei mosi, ile ni kweli na kasomeni tena ile barua, inasema, nanukuu kwa ufupi....., "Rais ameridhia nyongeza ya mshahara serikalini/kwa watumishi wa Umma, ikiwemo ongezeko la 23% kwa kima cha chini cha mshahara....."
Sasa waTz either ni wavivu wa kusoma katikati ya mstari "read between the lines" ,au hesabu inawachenga sana.
Haya maneno yana maana,
.... ikiwemo ongezeko la kima cha chini cha mshahara kwa 23% ....
Sasa kima cha chini hadi JK anatoka ni sh 300,000/-. JPM hakuwahi kuongeza.
Sasa mh Samia kawaongeza sh 69,900/- hao wa laki 3 kushuka chini.
Barua haikutaja kuwa waliokuwa wanapokea mshahara wa zaidi ya laki 3, wameongezwa sh ngapi!!
Kwa hiyo acheni kupamba pamba, eti mama anapotoshwa sijui ooh wanataka achukiwe.
Katika hili la nyongeza ya mshahara huo ni uongo au maneno ya kuunga unga.
Huo ndio ufafanuzi sahihi.
Kama unaona ndogo acha kazi. Acheni ujuha nyie walimu msiojielewaYani nimecheka kijinga Sana,maana
Nimechukua miaka 6 bila nyongeza ×12 month=72month
Then tsh20000÷72month=tsh 278 per month,
So kama kweli mtumishi wa tz kila mwezi alikua anaongezewa 278 tsh Katika kipindi Cha miaka 6
Dunia simama nishuke