Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

Mkuu usiwe msahaulifu kihivyo Mhe Kikwete alikuwa akitamka inaenda kuongezeka kwa wote hasa walimu na afya rate Ile Ile
Mama Samia alitamka kwa wote? Mbona mma vichwa vigumu? Mliambiwa ni kwa kima Cha chini
 
Hapa mama hajaongeza mshahara bali ametekeleza sheria ya ajira inayitwa statutory annual increment. Hii iko kwenye mkataba wako wa ajira

Inawezekana nyongeza akaongeza miezi ijayo
 
Kuna tofauti ya increament na addition.

Hiyo mnayojadili ni increament ambayo ipo kisheria na magufuli alibinya kwa mabavu.

Addition ni ongezeko hasa, mzigo kweli kweli. Til 1.7 kwenye bajet imepiti7hwa kuongeza mishahara.

Rais hana blabla, jmosi asubuh na mapema wafanyakaz wanaenda kufunga masoko, hongerdni.
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno
 
Mfyuuu
 
Sina uhakika lakini naamini kwa hizi akili zako huenda ni mwalimu
 
Mnyakyusa mwenye akili ni professa mwandosya.wengine takataka tuu.na wewe ukiwemo wewe sawa na mwakyembe,tuliaackson.etc etc etc
 
Mnyakyusa mwenye akili ni professa mwandosya.wengine takataka tuu.na wewe ukiwemo wewe sawa na mwakyembe,tuliaackson.etc etc etc
Nyinyi watu Mwakaleli baadhi yenu akili zenu kama kipofu alibahati kuona siku moja alafu akamuona jogoo. Lakini mimi nimerusha jiwe gizani. ungekuwa na fikra pevu ungenielewa ila kwa vile ulienda shule kupata cheti Mungu akusamehe bure.
 
Nilifafanua. Haya semeni watumishi wa Umma, mmeongezwa sh ngapi 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…