Nyie endeleeni kumdanganya huyo dada. Siku akifa na presha damu yake itakua juu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lazima kipara king'ae MTU kuongoza kikao pale bungeni kwa Siku 500,000/=.MTU anatumia billion 6 kutibiwa India.hatarijimbo la kongwa maskini aisee aisee ila ndugai upara unangaa kama mnyapala wa gereza la segerea dooh
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ona huyu sijui mshika pochi wakati muhusika anahutubua?? Njaa mbaya sana yani kipindi hiki cha Corona Mbeya kila kona wanamwimba Tulia?? Heri hata ungesema wanamzungumzia!!! Shida hamna kazi nyingine za kufanya ndiyo maana lazima hata kipindi kama hiki muendelee kujipendekeza tu!!Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Mmmh, labda hapo ulipo.Ccm ikitaka ipoteze jimbo kizembe impitishe Huyu mama kugombea.
Kama wewe unavyomwonea wivu Sugu.
Tulia naye ni tulimumoKila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
asante kwa huu ushahidi solid kwa ajili ya kusaidia mchakato kule TAKUKURU wakati utapowadia.
Haahaa, nimeamini sikio LA kufa halisikii dawa, ccm wataendelea kupoteza jimbo kizembe Mbeya kwa sababu ya kumwendekeza Huyu mama. Yale ya Iringa msigwa Na mwakalebela yatajirudia Mbeya.
Jamaa sio wivu na mimi sio mwanasiasa na wala sijnaga ivhaddema me nasema tu pale sehemu ni maskini sana, nlipata bahati ya kuzunguka karibia nchi nzima so sehemu kibao nazijua zilivyo yan physical appearance, mkuu unaleta mambo ya mashindano tena ? nyie ndio mnarudisha nyuma hii nchi badala uje useme kwanini ile sehemu iko vile na spika wa bunge ndio mbunge we umelenga kwene kushindana na mjomba wako sijui, ishue sio kushinda ubunge mahali husika ishue je utaweza kudeliver ? kama unashinda tu alafu hufanyi kitu hiyo ni dhambi, me na mambo ya wanasiasa ni tofauti.
Tulikupenda sugu ila mungu ametupenda zaidi kutupa tulia ackisoni. Mungu akuweke sugu pema kwenye kufoka kwenye hoteli yako.
Haahaa watu wote wakati mi Niko Mbeya Na simkubali Tulia Mkuu, Na Tuko wengiNilikuwa ninasoma mitandaoni, wakisema Sugu anakubalika mbeya ila nikifika kule watu wote wanamlilia Tulia agombee hawataki tena Sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu lazima kipara king'ae MTU kuongoza kikao pale bungeni kwa Siku 500,000/=.MTU anatumia billion 6 kutibiwa India.hatari
Kwa nini Tulia asipeleke huo msaada kwao Rungwe? Na je Mbeya ccm imeshamteua Tulia kugombea ubunge?
Naumia kwa sababu Sugu ataendelea kupeta, tunatamani tupate mbadala ila sio Tulia.Hahah Mbona unaumia Tulia kupitishwa Kwanini usifurahi Chadema kushinda kiurahisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wananchi walikaa wapi na wakamtaka agombee?
Na kumbuka kugombea siyo kushinda
Maji na moto haviwezi kukaa pamoja ..either Maji yatakauka kwa wingi wa moto au moto utazimika kwa wingi wa maji....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya mkitaka maendeleo achaneni na huyo mpiga soga.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Mkuu tatizo kila kitu watu wanaleta siasa, ccm kwa mfano ilipaswa kufanya utafiti ili waweze kushinda majimbo ya upinzani wafanye nn Na wawapeleke wagombea gani.Wao hawajiangaishi kuwekeza kwa umma Bali mapolis Na dola.Jamaa sio wivu na mimi sio mwanasiasa na wala sijnaga ivhaddema me nasema tu pale sehemu ni maskini sana, nlipata bahati ya kuzunguka karibia nchi nzima so sehemu kibao nazijua zilivyo yan physical appearance, mkuu unaleta mambo ya mashindano tena ? nyie ndio mnarudisha nyuma hii nchi badala uje useme kwanini ile sehemu iko vile na spika wa bunge ndio mbunge we umelenga kwene kushindana na mjomba wako sijui, ishue sio kushinda ubunge mahali husika ishue je utaweza kudeliver ? kama unashinda tu alafu hufanyi kitu hiyo ni dhambi, me na mambo ya wanasiasa ni tofauti.
Unashangaa nini wewe unayelishwa na kimbaumbau