Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Ona huyu sijui mshika pochi wakati muhusika anahutubua?? Njaa mbaya sana yani kipindi hiki cha Corona Mbeya kila kona wanamwimba Tulia?? Heri hata ungesema wanamzungumzia!!! Shida hamna kazi nyingine za kufanya ndiyo maana lazima hata kipindi kama hiki muendelee kujipendekeza tu!!
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Tulia naye ni tulimumo
 
Unamwonea wivu? Kagombee kupitia Chadema kama utashinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa sio wivu na mimi sio mwanasiasa na wala sijnaga ivhaddema me nasema tu pale sehemu ni maskini sana, nlipata bahati ya kuzunguka karibia nchi nzima so sehemu kibao nazijua zilivyo yan physical appearance, mkuu unaleta mambo ya mashindano tena ? nyie ndio mnarudisha nyuma hii nchi badala uje useme kwanini ile sehemu iko vile na spika wa bunge ndio mbunge we umelenga kwene kushindana na mjomba wako sijui, ishue sio kushinda ubunge mahali husika ishue je utaweza kudeliver ? kama unashinda tu alafu hufanyi kitu hiyo ni dhambi, me na mambo ya wanasiasa ni tofauti.
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Mbeya mkitaka maendeleo achaneni na huyo mpiga soga.
Tulia na Tulia.
 
Jamaa sio wivu na mimi sio mwanasiasa na wala sijnaga ivhaddema me nasema tu pale sehemu ni maskini sana, nlipata bahati ya kuzunguka karibia nchi nzima so sehemu kibao nazijua zilivyo yan physical appearance, mkuu unaleta mambo ya mashindano tena ? nyie ndio mnarudisha nyuma hii nchi badala uje useme kwanini ile sehemu iko vile na spika wa bunge ndio mbunge we umelenga kwene kushindana na mjomba wako sijui, ishue sio kushinda ubunge mahali husika ishue je utaweza kudeliver ? kama unashinda tu alafu hufanyi kitu hiyo ni dhambi, me na mambo ya wanasiasa ni tofauti.
Mkuu tatizo kila kitu watu wanaleta siasa, ccm kwa mfano ilipaswa kufanya utafiti ili waweze kushinda majimbo ya upinzani wafanye nn Na wawapeleke wagombea gani.Wao hawajiangaishi kuwekeza kwa umma Bali mapolis Na dola.
 
Back
Top Bottom