Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Dr Tulia hajapelekwa alifuatwa na wana mbeya kuombwa

Amesaidia wana mbeya, ila mbunge wao hataki kuwasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia kawasaidia Nini? Kazi ya mbunge Ni kuwasemea wanambeya.Lini Sugu hakuwahi kuwasemea Wana Mbeya.Ukiona Kuna Mambo hayajafanyika ujue Serikali ambayo Tulia yumo imeacha kwa makusudi kupeleka maendeleo wakati wananchi wanalipa Kodi kwa uaminifu.Ogopa Sana mtu anayetafuta uongozi kwa rushwa Kama Tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliyekataza, km unauwezo na Wewe kachangie

Sent using Jamii Forums mobile app

Watz nadhani tubadilike, si kazi za wabunge kutoa pesa na kuwanunulia kina mama khanga, sabuni, mikate, kujenga mahospitali nk. Na hakuna mwanasiasa atakaekumbukwa kwa kugawa pesa kama njugu. Wanasiasa ya aina hiyo wakishinda lazima kwanza warudishe pesa zao.

Watz wanahitaji wabunge vichwa watakaoleta fikra mpya badala ya kuendelea mazoea.

Kwa mbeya si lazima awe Sugu, lkn kwa mwenendo wa msichana wenu huyu unaleta mashaka.

Walau sugu alipiginie maiti kutotozwa pesa na serikali ikamsikiliza.

Mimi naamimi ni kazi ya serikali kugawa pesa kwa huduma za jamii na kusimamia policy inazotunga.

Serikali inazo pesa za kutatua changamoto za wanambeya. Suala lililopo ni kwa mtu kama mleta mada hii kuamua, pesa hizi zinunue ngede au zipeleke miradi ya maji vijijini. Zinunulie wapinzani au zinunue sawa mahospitalini. Ni suala la kuamua tu
 
Kama ni aibu yake, wewe inakuhusu nini? Kipi kinakuwasha?
 
mleta mada unakusudia hapa Mbeya mjini au wapi na hapa kura hamuwezi kuiba,,,amini nakuambia kama uchaguzi utakuwa free and fair Magufuli mwenyewe hatoboi kwa hivi anavyotupa msoto na kelele nyingi za fix tu
 
Sugu amekuwa mbunge miaka kumi amefanya nini zaidi ya kupigana bungeni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wauza madawa ya kulevya fanyeni kazi, Magufuli ameokoa vijana Wengi mliokuwa mnawauzia lazima uone utapata msoto
mleta mada unakusudia hapa Mbeya mjini au wapi na hapa kura hamuwezi kuiba,,,amini nakuambia kama uchaguzi utakuwa free and fair Magufuli mwenyewe hatoboi kwa hivi anavyotupa msoto na kelele nyingi za fix tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu tulimtuma akatuwakilishe bungeni yeye akaenda kugeuka baunsa wa Mbowe

Lazima tumkate mwaka Huu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu amekuwa mbunge miaka kumi amefanya nini zaidi ya kupigana bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka afanye nini zaidi ya kutoa mapendekezo ya namna ya kuzifanyia mageuzi sheria zilizopitwa na wakati.

Ni ajabu sana sisi watz. Kule US hata Trump pamoja na utajiri wake, hagawi pesa yake kwa njia hii ya wanasiasa tena masikini kama msichana huyo ili awashawishi RAIA wamchague. Kwa US ni kosa nani rushwa. Wanasiasa wa US kabla na wakati wa kampeni wao huomba michango kwa wananchi. Sisi tunataka wanasiasa watugaie pesa ndipo tuwachague. Wanambeya mnatuangusha.

Walau sugu kasaidia jamii ya watz waliokuwa wanaacha wapendwa wao hospitali kuwa kuwa serikali iliweka malipo ya kuchukia maiti za wapendwa wetu
 
Utamaduni wa USA usifaninishe Tanzania

USA wanaruhusu ushoga na sisi tuwaige?

Miaka kumi ya Sugu,mbeya inazidi kuchakaa

Tunamtaka Binti msomi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…