Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Chadema Ndio walitaka walete Vurugu baada ya kushindwa Uchaguzi

Mtafinywa sana tu mkileta kiherehere
Sssa madhara ya kutumia dola kuingia madarakani ndio tunayaona likitokea tatizo la kiteknikali au la kitabibu kulitatua inakuwa shida kwa viongozi wetu sababu most of them victory zao nyingi walizipata kwa kutumia dola, hapo umeongea na kinachoboa wanatumia pesa mingi na nguvu mingi kurudi madarakan, haya umerudi fanya basi yanayotakiwa kufanywa wananchi wako waone impact hufanyi na kwakuwa unajua next time utatumia nguvu tena utarudi ndio mana hawajali hata kidogo. Corona imekuja kuwaumbua wakubwa na inawakumbusha kuinvest kwenye sehemu za muhimu sio kwenye kununua wabunge na madiwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hawa Chadema wanakesha mtandaoni kupiga propaganda
Hawajui hali iliyopo jimboni

Sugu amepoteza ushawishi mbeya, Wananchi wamemchoka
Mkuu, jee umefika na kukaa Mbeya au unapata taarifa za kila siku? Kwa miezi mitatu hivi hali ni mbaya ?. Tuondoe ushabiki tukakosa kiti, Mbunge wangu Sugu muda umefika jitokeze kwa nguvu ili urudishe nuru ambayo umekuwa nayo Mbeya kwa muda mrefu. Huyu dada ni mwiba ukiudharau utakuchoma. Binti anakimbia kwa hatua ndefu na kwa kasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu amechokwa Mbeya, Tatizo nyie mnashida mtandaoni hamuijui Mbeya
Kwa kutumia mtindo wa WIZI WA KURA kupitia TUME ISIYO HURU wanaweza kumnyang'anya Mhe. Joseph Mbilinyi(Sugu)asubuhi mapema! Lakini kama ni Uchaguzi Huru na Haki chini ya Tume Huru Mama Asiye Tulia Akisonya hataona ndani.......!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye Ndio amejimilikisha Jimbo, tumempeleka waitara akagaragaze

Sent using Jamii Forums mobile app
Handsome Waitara ni Tapeli wa kisasa na hana huruma na wapiga kura.
Kahama chama kwa milioni 400, alipohamia hakuna lolote alilofanya jimboni bali kutumia gari la umma kwenda kupiga kampeni jimboni tarime ambapo yeye si mkazi, yupo after tumbo lake, Watu wa Mara watakuwa vichaa kama watamchagua, yani hawana watu wa kuwaongoza mpaka watafute "malaya wa kisiasa" ?
 
Back
Top Bottom