Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
umeambiwa anagombea jimbo la Heche?Waitara anaenda kumuadabisha heche musoma
Safari hii Sijui mtatokea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
badala ushabikie maendeleo unashabikia fulani kumwadabisha fulani, utagongewa mke huku unapiga makofi kwa makalio,