Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

[/QUOTE] Buk7 mpya unajangaika kweli. Siku 3 post 680?
Polepole akuoneze posho maana huo ni wastani wa post 9.4 kwa SAA ndani ya SAA 24/3 bila kulala!
Hakika usipoangalia utafyatuka pull (anus deformation) kwa kutafuta sifa za bandia.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu jimboni Mwanasheria Nguli, Msomi wa kiwango Cha PhD anayejali watu. Wengine waendelee kwenye michezo Yao na uchuuzi
 
Acha porojo chafu..... Mitaa ipi ya mbeya wanaweza kumkubali kidudumtu tulia...
Sugu moto chini
 
Mtoa uzi umekosea point ya kuanzia umeleta jambo dhaifu sana,hizi SAAKOSI unazijua kweli au ndo unaleta utani,hiyo bado si hatua ya kukubeba kisiasa hata kidogo,unazijua kweli hizi SAAKOSI au unaleta utani,hebu sikiliza hizo nyimbo vizuri.
 
Wamemuingiza Chaka huyo mwanamke kumsimamisha Mbeya mjini , afadhali mara mia angekwenda Tukuyu angeweza ambulia!!
Mbeya Mjini kumenoga tunarudi Nyumbani kuliponoga CCM
 
Tangu mwanzo nilikuwa naambiwa mbeya kimewaka mtu anamwaga pesa kama uchafu... nimeenda nikashuudia mwnyw.. inshort Mbeya mjini ni pagumu mwaka huu kati ya nguvu ya pesa na nguvu ya umma
 

Bia yetu ukiendelea hivi utakuwa hupati posho zako
Unaleta habari hata picha hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…