Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Naunga mkono hoja ila uchaguzi wa nn kupoteza pesa za Bure tu Hali ya kuwa matokeo tayari mnayo...
IMG_20200320_223458.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha sisi ndo wapiga kura jamaa ee jiliwaze tu hapa na marushwa yenu,ivi unajua mambo makubwa ya kiutu aliyotufanyia sugu ww.hahaha umenichekesha sana asee na tathimini yako, mwnye akil maiti tuu kama ww ndo atakuelewa
Kama mbeya mnasema sugu kawafanyia makubwa basi mlaaniwe. Mji mbovu sana.
 
Mkuu nakuibia siri tu Sugu amechokwa mno Mbeya
Tupo field

October ni kuifuta Chadema mbeya
Huyu mama anautaka ubunge kwa hali na mali na alishaanza kampeni mapema sana si chama chake wanaomkemea wala tume ya uchaguzi. Wana Mbeya pokeeni tu hivyo anavyovitoa kwenye sanduku la kura mmuoneshe nie ni kina nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Hii ni ID maalum ya uchaguzi!! Wenye akili wakiona hivi wanajua timu Lumumba iko kazini, wala hawahangaiki na misukule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Shida siyo amefanya nn kwa muda mfupi swali vipi Jimbo la Ndugai hivyo vitu vipo?majimbo ya ccm mengine je?jibu ni kwamba anatongoza wapiga kura,wafrika tunateseka kwa kukosa maarifa
 
Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya

Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.

Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.

Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.

Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.

My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.

Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.

Tuipende Tanzania
Takukuru wanajua kuhusu huo msaada wa hela anazotoa huyo mama ? Tunajua haguswi kwasababu ana Kinga ila anachofanya ni rushwa tupu.
 
Mawazo yangu yangelikuwa ndio Kura ya kuwawajibisha viongozi, Tungepiga Chini wote walioko huko juu, halafu tuweke wengine wapya ingesaidia Sana, ili pengine na zamu zetu zikaribiea, kwani kila mtu anahaki ya Kula hiyo keki ya Taifa

Vinginevyo, hao tuliowachagua ni wachumia tumbo Tu, hakuna aliyedhamilia kusaidia nchi na wananchi wake, wanatufanya kuku wa kienyeji bhana, wanatudanganyia punje za mahindi kisha kutuchinja hivihivi!

Piga Chini wabunge woote tuanze upya
Mbunge alikuwa Deophili kunjombe pekee RIP, tutakukumbuka Sana mahalo uliko
 
Lumumba na hiyo ‘bia yenu’ mnalewa tangu asubuhi, tatizo mpo juu ya sheria.... Tulia angeenguliwa na TAKUKURU mapema tu.

Nje kidogo, bwashee umejiita Bia yetu kwa maana ya jPombe.?
 
Back
Top Bottom