Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana mbeya
Amewezesha sacos nyingi sana Karibu kila kata ya mbeya, hizo sacos kwa kiasi kikubwa zimewezesha Wananchi kujikimu na mahitaji ya kila
Mama moja katika soko la mwanjelwa aliyejitambulisha Kama Mama tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya Wananchi wa mbeya
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na Viongozi Wengine wa kisiasa waliopo mbeya
Vijana Wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu spika amefanya maajabu makubwa Tanzania
My take : Mh Sugu ili kuepusha Aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wanambeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boks la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufoka foka tu huku kwenye Siasa wanambeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa mbeya
Tuipende Tanzania