Alisikika mlevi mmoja wa Lumumba!Sugu ajikite kuendesha hoteli yake ya Desderia, ubunge asahau, ameshindwa kusimamia mpaka soko la mwanjelwa, sugu tumemchoka
Kama mbeya mnasema sugu kawafanyia makubwa basi mlaaniwe. Mji mbovu sana.Hahahaha sisi ndo wapiga kura jamaa ee jiliwaze tu hapa na marushwa yenu,ivi unajua mambo makubwa ya kiutu aliyotufanyia sugu ww.hahaha umenichekesha sana asee na tathimini yako, mwnye akil maiti tuu kama ww ndo atakuelewa
Wewe ni mjinga sana umejiunga jamii juzi kwa ajili ya kuandika upuuzi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama anautaka ubunge kwa hali na mali na alishaanza kampeni mapema sana si chama chake wanaomkemea wala tume ya uchaguzi. Wana Mbeya pokeeni tu hivyo anavyovitoa kwenye sanduku la kura mmuoneshe nie ni kina nani
Hii ni ID maalum ya uchaguzi!! Wenye akili wakiona hivi wanajua timu Lumumba iko kazini, wala hawahangaiki na misukule.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Mamaaa! Kiongozi I've been there once na sijawahi kutaka kurudi hivi kile ni kijiji au ni nini?[emoji13]
Basi CCM tumeshindwa kuendeleza apo Mbeya ..maana sisi ndiyo tupo madarakani na ilani inayotekelezwa ni yetu.Mleta mada umetuonyesha kua CCM tumedanganya kabisa na tuwezi kuleta maendeleo.
Shida siyo amefanya nn kwa muda mfupi swali vipi Jimbo la Ndugai hivyo vitu vipo?majimbo ya ccm mengine je?jibu ni kwamba anatongoza wapiga kura,wafrika tunateseka kwa kukosa maarifaKila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Jukwaa la international unaandika pumba umeona hakukufai umehamia na huku.
Jinga kweli
Takukuru wanajua kuhusu huo msaada wa hela anazotoa huyo mama ? Tunajua haguswi kwasababu ana Kinga ila anachofanya ni rushwa tupu.Kila kona ya jiji wanaimba jina la Dr Tulia Ackson, wanasema huyu mama amejitolea kuwahudumia wana Mbeya
Amewezesha sacsos nyingi sana karibu kila kata ya Mbeya, hizo saccos kwa kiasi kikubwa zimewezesha wananchi kujikimu na mahitaji ya kila siku.
Mama moja katika soko la Mwanjelwa aliyejitambulisha kama Mama Tarumbeta anasema, Huyu binti Tulia ana miaka michache tu tena aingie kwenye siasa ila amekuwa ni chachu kubwa kwa maendeleo ya wananchi wa Mbeya.
Anaendelea kusema, anasaidia sio kwamba ni tajiri ila ana moyo wa kutoa tofauti na viongozi wengine wa kisiasa waliopo Mbeya.
Vijana wengi wamehamishia matumaini kwa huyu dada ambaye toka awe Naibu Spika amefanya maajabu makubwa Tanzania.
My take: Mh Sugu ili kuepusha aibu ya mwaka tunaomba ustaafu ubunge kwa heshima, wana Mbeya wanakufanyia mazoezi ya kukuchinja kwenye boksi la kura.
Huu muda ungerudia kwenye muziki wa kufokafoka tu, huku kwenye Siasa wana Mbeya wamepata mwanamama ngangari anayeenda kuleta mapinduzi katika mkoa wa Mbeya.
Tuipende Tanzania
Huijui mbeya maana wewe mwana sisisem
Pia eti mama tarumbeta?????hadithi za kutungwa hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya wanasema kula hela zake halafu piga chini kimbaumbau
Uwezo gani tena mbona ya kawaida sema anawatu nyuma yake