Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Ccm inakwamishwa na Chadema kuindeleza mbeya

Ndio wamesema wanampiga chini sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatukwamisha kivipi?
Wanazuiwa watu wasifanye kazi au kulipa kodi? Wanazuia ujenzi wa bara bara na Zahanati...mbona majimbo mengi tunayaongoza lakini hamna maendeleo? Mfano .Karagwe,Kongwa,Bariadi,Shinyanga mjini...Wewe ni mmoja ya vijana mnatufanya wanaccm tuonekane wajinga aisee
 
Chadema wanapinga maendeleo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafanye masikini ili uwarubuni kwa peremende uwatawale milele.
 
Kampeni hivi zimeanza eeee?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…